Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo

Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza watu hao wanafahamika hata Yeye nyumbani kwake angekuwa anakaa na shoga angemnyongelea mbali huko au angehama kabisa kukaa nae

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza kuna ukakasi gani viongozi kukemea suala hilo na hata bungeni kuna ukakasi kutokana kuna wabunge na Viongozi wanajihusisha na Mapenzi ya jinsia moja
WAPO HATA WANANCHI TUNAWAJUA
 
Badala ya kujadili ripoti ya CAG naona tumehamia rasmi kwenye hoja zisizo na msingi.
 
Akikazia hapo kwenye VIONGOZI, kuna sehemu atafika..........utamsikia akisema, "....nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana....."
Kwa hyo umeitikia wito unaanza kuwataja ila kwa codes!
 
Mbunge Mama Masaburi amesisitiza watu hao wanafahamika hata Yeye nyumbani kwake angekuwa anakaa na shoga angemnyongelea mbali huko au angehama kabisa kukaa nae

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza kuna ukakasi gani viongozi kukemea suala hilo na hata bungeni kuna ukakasi kutokana kuna wabunge na Viongozi wanajihusisha na Mapenzi ya jinsia moja
Kelele hazitasaidia mama, kama wamo bungeni au serikalini subiri vipindi vyao viishe ndipo muwashughulikie, kwa hivyo mlivyo hamuwezi kushughulikiana mkiwa wote ni familia ya kijani
 
Huenda hivi vita mlivyoanzisha vikawa vigumu hasa pale Mbunge anaposimama mbele ya bunge tukufu la wana-CCM na kukiri kuwa Kuna wabunge wenye tabia hizo.

Hizi sio taarifa nyepesi hata kidogo, japo mambo haya yamezungumzwa ndani ya Bunge ila ni muhimu Mwenyekiti wa CCM akemee wabunge wake waachane na USHOGA.

Kumbe wanawasingizia CHADEMA Bure wakati wao ndio vinara .
Video hii hapa, kama huna bando ni tatizo lako sasa sio Mimi tena.

Angalizo, Moderator msifute ushahidi huo hapo

Alisema jamaa, ukishaonja nyama ya mtu aisee lazma urudie tena na tena...! Hali ni mbaya sana.
 
Wapo bungeni kumbe wanapasuana na spika
Innalillahi wainna illah rajiuun mswibaa huu sheikh
 
"Vitendo visivyo vya kiasili bungeni"

Kumbe inawezekana kule bungeni tuna wanyama, hatuna binadamu, ndio maana siku zote wamekuwa wakifanya mambo yasiyoeleweka.
 
Back
Top Bottom