Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

kama kuna dini na madhehebu yana makasisi wanaojiita watumishi wa Mungu lakini bado ni mashoga, unashangaa nini hawa mbulukenge mafisadi wakuu kuwa mashoga?
Hahaha nashangaa hizi Mbulukenge kutangaza kwenye jengo takatifu
 
Hahaha nashangaa hizi Mbulukenge kutangaza kwenye jengo takatifu
wacha wajitangaze tu. Hizo mbulukenge zina madeni sana, inawezekana zinazofanya hayo mambo zilikopa huko kwa masharti kuwa lazima zianze kupigana pipe, si unajua kuna ma-ngo yenye mlengo huo?
 
Halima Mdee hiyo maada sijamsikia akichangia
Screenshot_20230413_094930_Chrome.jpg

Screenshot_20230413_094855_Chrome.jpg
 
Huenda hivi vita mlivyoanzisha vikawa vigumu hasa pale Mbunge anaposimama mbele ya bunge tukufu la wana-CCM na kukiri kuwa Kuna wabunge wenye tabia hizo.

Hizi sio taarifa nyepesi hata kidogo, japo mambo haya yamezungumzwa ndani ya Bunge ila ni muhimu Mwenyekiti wa CCM akemee wabunge wake waachane na USHOGA.

Kumbe wanawasingizia CHADEMA Bure wakati wao ndio vinara .
Video hii hapa, kama huna bando ni tatizo lako sasa sio Mimi tena.

Angalizo, Moderator msifute ushahidi huo hapo

View attachment 2586163
Unapoiga chapuo WAACHANE NA USHOGA ili kuwalinda CCM na si kuyalinda maadili ya jamii yetu eti?
 
"Ipo haja ya huyu mbunge kuthibisha haya kwa uwazi kabisa ili hatua za kisheria zianze kachukuliwa ndani ya Bunge kama mfano hai wa Tanzania haikubaliani na Upumbavu huu"
:Watajwe bila kumungunya!, taratibu zingine zifuate!
:Ubunge wao usitishwe mara moja!
BUNGE NI CHOMBO CHA HESHMA SANA.
 
Back
Top Bottom