Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

Kuna mwaka 2000 mmoja alinieleza nimpindue kwamba ndio masharti kapewa na mganga ili ashinde ubunge,
Hili nimelisema kwenye Uzi huu Kama comment! Kafara zimehama kutoka kwenye damu mpaka kubanduliwa
 
Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo

Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza watu hao wanafahamika hata Yeye nyumbani kwake angekuwa anakaa na shoga angemnyongelea mbali huko au angehama kabisa kukaa nae

Mbunge Mama Masaburi amesisitiza kuna ukakasi gani viongozi kukemea suala hilo na hata bungeni kuna ukakasi kutokana kuna wabunge na Viongozi wanajihusisha na Mapenzi ya jinsia moja
Naam
Huo ndio ukweli

Nape juzi hapa anajifaragua kuwa serikali haitaruhusu ushoga wakati anajua wapo viongozi wanashiriki.

Narudia kusema. Kukemea ushoga pekee ni uzayuni wa kigaigai. Dawa ni kuwa na program endelevu za kudeal na mindset za vijana, kujiamini na kuthamini tamaduni nzuri.

Leo tunalaani mashoga huku wanaopiga krlele kubwa ndo mabasha wenyewe ni ujinga mtupu.

Ni sawa na mafisadi kupiga kelele kulaani ufisadi wakati ripoti za CAG zikiwaumbua
 
Mmmmh, we mzee, mimi nimezungumzia mambo ya MSAMAHA kama unakosea watu, kutaja imetokea wapi tena?
kwan hayo maneno si yalitamkwa na mtu kabisa! Tena akitembea kwa miguu kutoka huko alikokuwa kuwa? Au nazeeka vibaya
 
Ukaribu kama wa Halima & Bulaya au ?
Ndiyo hao hao
Screenshot_20230413_094855_Chrome.jpg
 
Wewe mpuuz popom@ unaelewa hata nilichoandika au ulikuwa unatoa udenda wakati huo Masaburi anawatukana wabunge wa Dsm?
Hoja ya maasaburi kuwatukana wabunge wa Dsm imetoka wapi hapa wewe anti?
Hoja hapa ni mama Masaburi kuongelea kuhusu ushoga anti!
Jikite ktk hoja iliyomezani wewe anti!
 
Jambo la Ajabu Sana Bunge la Tz, kujadili Ajenda za Bunge la wazungu,na Ajenda za Western ' Hapa Hakuna maana yoyote ya kuongelea huo upuuzi hatujafika fika huko' Ila mnavyo jadili Ni kawa mnatoa attention au airtime kwa vitu ambavyo having maana njia sahihi Ni kupuuza na kuachia vyombo huska vya kurekebisha maadili kudeal kimya kimya' leo Michele 1kg Ni 3500 lakini watu wenye Akili na taaluma wanaacha kujadili gharama za maisha wanajadili Ajenda za wazungu, Ambao kwa makusudi wameamua kuchagua maadili mabovu'
Leo hii wengi wao hata Mungu kwao hawamwamini'
Tuache hizi Mada Gharama za maisha zipo juu' tujadili hayo.
 
Unajua tukiacha ushabiki wa vyama hizi Ni strong allegations? Kuna ushahidi wa namna yoyote kwa maana ya picha, mazungumzo au faragha yoyote au kukiri kwa wahusika kuhusika na hiyo kitu?
Au kwakua wanaongozana sana?
Kwani Halima na Esta niliowataja ndiyo hao unaowafahamu na wewe?
 
Back
Top Bottom