Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

Inakuwa kama huo mchezo mchafu unafanyiwa promoshen ya nguvu !!
 
Nimemshangaa sana yule mbunge kusema wabunge wapimwe lijinga lingine linaloitwa msukuma likasimama kukazia
 
Wabunge kazi yao kubwa ni kuwasilisha matatizo yaliyoko kwenye jamii zao, haiwezekani wote wakaongelea jambo moja, mkuu haujui madhara ya mkono wa sweta? Mkuu haujui madhara ya ushoga? lazima yaongelewe kwa nguvu sana ndipo yataondoka bila hivyo yataongezeka, kukaa kimya sio suruhisho, kitu kibaya lazima kitangazwe ili kila mtu ajue ubaya wake.
 
Nakuuliza wewe tena hao Halima na Esta niliowataja unawajua?
 
Yaani hawa wezi wa mabilioni yetu ni kama wamefanikiwa kwa kiasi fulani.
Ripoti ya CAG imekoma kujadiliwa. Tumeachiwa ushoga tuhangaike nao!
 
Mi naanza kuwataja: wawili wako ndani ya Covid-19. Mmoja ni Naibu Waziri akitokea Zanzibar. Mwingine ni DC lakini amewahi kuwa Katibu Itikadi na Uenezi wa chama fulani. Mwingine ni Katibu Mkuu wa chama fulani. Endeleeni
 
The least I know sijawahi kutana na Masai zeruzeru, sijui wanachofanya japo siungi mkono kwenye hili hata nikijua wanachofanya, japo ningejua natamani ingetumika kwa machoko..
 
Haiwezeka kukaa kimya hili ni janga kuu isitolewe nafasi hata kidogo ya kuachia huu uchafu ushamiri waharibifu ni wengi mno ukipuuzia gonjwa hili laweza piga hodi nyumbani kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…