Mbunge: Matuta yanaharibu viuno vya wanaume wa Rukwa, yapunguzwe

Hayuko sahihi, mara nyingi gari likiruka kwenye tuta wanawake ndio huwa wanalalamika kutolewa vizazi..
 
“Wanaume wa Mko wa Rukwa wanapata shida, nyumba nyingi zinavunjika chanzo ni matuta makubwa sana.
Ukitaka kuwa kivutio mahali zungumzia viuno, kumbuka yule waziri wa mambo ya inside alivyokatika mbele ya kiongozi mkubwa!!
 
Nimetukana ,
Mpyuuuuu,
Mwendazake katuletea matatizo Sana Nchi hii kutuletea wabunge masalo.....
 
Binadamu tunaanza kujipenda kwanza.Hayo mambo makubwa ya nchi yatafanyika kukiwa na utulivu wa mwili na akili.Viuno oyeeeee!😂😂😂😂😂
 
Yaani hiyo njia nilipita majuzi toka sumbawanga Hadi Tunduma ..njia Ina matuta hatari..Tena wananchi wameyahesabu wanasema Yako 60.sidhani Kama Kuna njia Ina matuta Kama hiyo Tanzania
 
Kama hiki changu kipo vzr coca!
Mbunge Bupe anajua umuhimu wa hivi viuno vyetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viuno km viuno. Uwiiiiiiih
 
Khaaaa 😳

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…