Mbunge: Matuta yanaharibu viuno vya wanaume wa Rukwa, yapunguzwe

Pamoja na kwamba kaingiza chumvi ila hayo matuta yapunguzwe,ni kero..

Tanroads wapange bajeti.
 
Kama ni mbunge kutoka rukwa sijamshangaa Ila ni aibu kwaccm na bunge lenyewe harafu ni mhandisi
 
Kwa kweli Mwendazake Magufuli alitufanyia vibaya watanzania kwa kutuachia bunge lenye watu mazumbukuku kiasi hiki.
 
Asante magufuli kutuletea wabunge hawa!!
 
Hawa ndio wajinga Magufuli alowataka
 
Suala la Matuta ni bahati mbaya sana...Hatuwezi kuchunga watu wazima kama mbuzi na kondooo...Ingetakiwa tu sheria iwe kali ukiendesha speed sehemu iisiyofaa unafungiwa na jela miezi 6 hii ingesaidia sana bila hivyo wapo watu wapuuzi ndio wanataka wawekewe matuta kama watoto...
 
Yes, muhimu posho iingie kwenye Acc on time......

Matatizo ni pale mtu unapoongea ilihali ilikuwa ni wakati wa kukaa kimya... lazima uteme Pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…