Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

Akaunti aliyokuwa anapokelea mshahara nayo ilikuwa akaunti ya familia? Umalaya ni chukizo.
 
Kama alivyodanganya naibu spika kuwa bunge halijapokea barua ya covid 19 kufutiwa uanachama na Chadema.
 
Tabia yako ya kuleta habari za propaganda za maji taka hapa zitaharibu reputation yako.Huwezi kuleta habari fake kutoka kwa bunge fake ambalo wabunge wake ni fake waliotokana na uchaguzi fake wanaotoa hoja fake halafu ukawa upo seroius katika tasnia ya upashaji habari!
 
Wadanganye wajinga
 
Tunachokiona juu ni mafuta tu! Maji yenyew yapo chini
 
Mbowe alisema akaunti zimefungiwa siyo biashara.

Huyo mbunge hata akiulizwa Bills ilikuwa mtaa gani hajui.
Yeye angepambana kuwatetea wakulima wa mahindi wa Songea na barabara na madaraja ya Lizaboni,Mfaranyaki,Mpitimbi na Ndelenyuma.
Bado wanademuka tu? na ile account ya mshahara nayo ilikuwa ya familia... wabunge wa hisani shida sana.
 
Khe.. Kumbe bado wanademka tu na kudeuka!
 
Mbowe alisema akaunti zimefungiwa siyo biashara.

Huyo mbunge hata akiulizwa Bills ilikuwa mtaa gani hajui.
Yeye angepambana kuwatetea wakulima wa mahindi wa Songea na barabara na madaraja ya Lizaboni,Mfaranyaki,Mpitimbi na Ndelenyuma.
Ubunge kapewa atakuwa vipi na akili ya utetezi
 
Nyerere alitaifisha majengo ya watu ikiwemo la baba yake Mbowe,viti maalumu ajui.jiwe alibomoa kwa chuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…