Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

Kwa mwawazo ya mama msemakweli tupu ni kwamba mpangaji kama halipi kodi jengo linabomolewa?
 
Jackline ngonyani namfahamu amemtaka mbowe kimapenzi kwa muda mrefu sana na jamaa kamtolea nje sishangai anapotoa tuhuma hizi kwa mbowe. Pole sana jack
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Mbowe amezoea kuishi kwa uwongo anawadanganya wajinga pale ufipa ila ccm haiwezi
Kama Tulia alivyo muongo kwa jinsi alivyolidanganya bunge leo kuwa ofisi ya sipika haina taarifa za covid 19 kufutwa uanachama na chama chao[emoji23][emoji23]
 
Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.

Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo.

Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.
View attachment 1761665

Hapo Billicans akatembelea nyota ya urafiki wa Nyerere na Babake.
 
Ya familia, siyo ya familia; alidanganya, hakudanganya; inahusu? Wewe si TRA wala mwana Mbowe! Situpidi kabisa!
 
Mbaya zaidi hilo jengo lilijengwa na baba yake Mbowe, Nyerere alilitaifisha akawapa NHC.

Una uhakika na unachokiandika? Fanya utafiti kwanza ujue NHC walichukua hilo jengo lilikuwa la mhindi gani halafu kama una ubavu urudi utupe mrejesho!!
 
Mbaya zaidi hilo jengo lilijengwa na baba yake Mbowe, Nyerere alilitaifisha akawapa NHC.
Tuwe wawazi tu hii ni nchi yetu ila hatutakuja kuendelea kwa siasa hizi za kumkomoa fulani, ila kusema ukweli bunge letu halina faida labisa ni kama kijiwe watu wanaenda kuchukua pesa tu
 
Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.

Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo.

Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.
View attachment 1761665
Naona ni mchango wa Mbunge kwenda kwenye Ofisi Ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Tunashukuru Mbunge-Ngonyani kwa mchango wako. Hakika 'SISIEM' wanakula hela zetu bure, imagine huu ni mchango kutoka kwa mbunge.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.

Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo.

Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.
View attachment 1761665
Hawa nao mnawaita wabunge?hawa ni vivuli wa wabunge tu
 
Back
Top Bottom