Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
DuuuuuuAsema pia alidanganya amefungwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuuuuuAsema pia alidanganya amefungwa.
Tatizo ujinga ndiyo una trendMbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.
Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo.
Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.
View attachment 1761665
Atakuwa ni jiwe tu, unafikiri nani anaweza kutoa wazo la kuharibu mali ya umma?Sijui ni nani aliyetoa wazo la kuivunja billcanas mi moja ya wazo bovu kufanywa tokea ile siku ndipo nilijua kuwa tz hatuna mipango bali siasa chafu unavunja asset ambayo waliweza kumpangisha mtu wao wakaona bola wavunje ili wazungushe mabati na pesa wakose[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umamaliza kaziMbowe alisema akaunti zimefungiwa siyo biashara.
Huyo mbunge hata akiulizwa Bills ilikuwa mtaa gani hajui.
Yeye angepambana kuwatetea wakulima wa mahindi wa Songea na barabara na madaraja ya Lizaboni,Mfaranyaki,Mpitimbi na Ndelenyuma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tabia yako ya kuleta habari za propaganda za maji taka hapa zitaharibu reputation yako.Huwezi kuleta habari fake kutoka kwa bunge fake ambalo wabunge wake ni fake waliotokana na uchaguzi fake wanaotoa hoja fake halafu ukawa upo seroius katika tasnia ya upashaji habari!
Haya haya. wale wa kumtetea Mwenyekiti wa kudumu wa CDM na mwenye utajiri wa kurithi na Uenyekiti wa kuzadiwa na baba mkwe waje kusema yao...😎😎😎Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.
Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo.
Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.
View attachment 1761665
Yaani wasipo mtaja Mbowe maharage yao hayatemi maji.Demkaring at its best...
Eti tuna nguvu kaz za vijana, vijana wenyewe ndo hawa 🤣🤣🤣👆👆. Jealous ones still envy!Mbowe amezoea kuishi kwa uwongo anawadanganya wajinga pale ufipa ila ccm haiwezi
Kelele za kutetea utawala dhalimu wa mwendazake hazitawasaidia zitazidi kuwaaibisha. Mama huyo atoe vielelezo au anyamaze. Utawala wa kishetani utaendelea kuumbuliwa sijui mtajificha wapi.Mbowe amezoea kuishi kwa uwongo anawadanganya wajinga pale ufipa ila ccm haiwezi
Kwani TWAWEZA huko Ccm wanasapotiwa na nani ?! "WAJINGA"Mbowe amezoea kuishi kwa uwongo anawadanganya wajinga pale ufipa ila ccm haiwezi
Uhusiano wake na mchango kwa bajeti ya serikali ukoje? Kumbe kama Mwalimu Julius Nyerere alivyosema "mtu aliyezoea kula nyama ya mtu akiiona ataila tu." Rais amewaasa wabunge kujadili na kuchangia bajeti ya serikali na siyo kwenda nje ya mambo ya kibunge, lakini 'waliozoea kula nyama ya mtu wanaendelea kula'.Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.