Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

Bajeti na Mbowe vina uhusiano gani?
Inchi inawabunge wa hovyo wanajadili mambo ya hovyo hovyo km alivyosema Mama Samia
 
Mama mzima na ubunge wa kutoa papuchi anaongea hovyo tu🤷 kama hakulipa Kodi mbona wamemfungulia akaunti zake walizozuia? Mshenzi kabisa huyu mama anadhani kila mtu ni mgawa papuchi.
 
Mbowe alisema akaunti zimefungiwa siyo biashara.

Huyo mbunge hata akiulizwa Bills ilikuwa mtaa gani hajui.
Yeye angepambana kuwatetea wakulima wa mahindi wa Songea na barabara na madaraja ya Lizaboni,Mfaranyaki,Mpitimbi na Ndelenyuma.
Huyo mngoni mpe hela atafikisha Ila nanihii hata haichukui round tayari keshaachia wazi ujilie tu. Limama lizima linaongea upuuzi bungeni bila hata aibu aisee.
 
Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.

Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo.

Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.

Huyu mbunge, inaonekana kichwani kumeyumba. Hakuna Mbowe aliposema biashara zilifungwa. Alisema TRA walofungia bank account zake.

Huyu mbunge atakuwa zaidi ya Kihiyo, hata kusikia tu ni tatizo! Hilo bunge ni la ajabu. Inaelekea sifa mojawapo kubwa, ni lazima uwe mnafiki na low IQ.
 
Wademkaji at their best... Bila vijembe kwa Chadema bungeni kunadoda... Mbowe ana uhusiano gani na bunge la bajeti?
 
Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.

Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo.

Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.

Mwanamke huyu sjui hana Mume,
Anamtamani mbowe
 
Hili shankupe linapenda kweli vibenten,sijui mumewe ana shida gani au hana mume? Madogo wanaburuza sana na wanaambulia mpunga safi.
 
Hao wabunge wanaongelea Bungeni Kama wanauhakika wasemayo wayaseme nje ya ukumbi wa Bunge.

Ndani ya ujumbe wa Bunge wanakinga ya kushitakiwa. Kama ni wanawake waliokamilika wayaseme hayohayo nje ya Bunge watajua nguvu ya kuchafua jina mtu.

Haya ndio mama alipiga kelele waache kuwajadili watu jadilini maendeleo ya watu.
 
Huyo Freeman tunaomjua hata hapo alipo hakutakiwa awepo, ni mtu mmoja wa tamaatamaa tu.
Billcanas ilikua chaka la uzinzi, huyu mtu na kakaake alikufa na ngoma aliishi pale billz alikua anawaf*ra wahudumu tofauti hata wanne kwa siku pale juu ofisini au malaya mle ndani.
CHADEMA chama cha Mtei mkwewe yuko milimani kule anangoja posho tu anywe supu na kisusio.
Eti sijui mnamuita mwenyekiti wa Matako.
 
Kwahiyo Familia ndiyo iliyoenda kuharibu mashamba ya green house kilimanjaro na yale mengine ya morogoro? Familia ndiyo iliyofungia accounts za hotel na ya mshahara alipokuwa mbunge?
 
Back
Top Bottom