Hahahaaaa Finance wa Building Katisha.Babu Tale....... Morogoro
Jah people........... Njombe...
Sio mkoa tu hata kanda nzima!!awe mmoja tu!!kanda ya ziwa, magharibi, kati, nyanda za juu kusini, pwani kwani wana kazi gani??sasa hakuna cha kutunga sheria, kupanga bajeti, kazi zote hizo sasa ni mtu mmoja tu?Nami natia neno kwenye kauli ya spika Ndugai. Kama mwalimu mmoja anaweza kufundisha masomo matano basi mbunge mmoja pia anatosha kuwakilisha mkoa mzima...
Eti nchi ina wabunge 400+ !Sio mkoa tu hata kanda nzima!!awe mmoja tu!!kanda ya ziwa, magharibi, kati, nyanda za juu kusini, pwani kwani wana kazi gani??sasa hakuna cha kutunga sheria, kupanga bajeti, kazi zote hizo sasa ni mtu mmoja tu,?miradi iliyotengewa pesa na bunge, haipewi pesa, ila miradi inayompendeza MEKO, tena hata kwenye bajeti haipo ndio anaagiza ipelekewe pesa!!kuna wabunge hapo??
Mdee ............. DSMBabu Tale....... Morogoro
Jah people........... Njombe...
Kuwe na magavana tuachane na ubunge....Aajiriwe kabisa ,nafasi itangazwe apigwe interview na bodi ya kibabe.....Sio wabunge kama kina Kibajji au msukuma au babu tale.
Nami natia neno kwenye kauli ya spika Ndugai. Kama mwalimu mmoja anaweza kufundisha masomo matano basi mbunge mmoja pia anatosha kuwakilisha mkoa mzima...
Habari za kanda tulishakataa nchi hii subiri siku mkichukua nchi huki ahera muendakoPoa tu tena wabunge 4 tu wa kuwakilisha kanda 4 za nchi
Poa tu tena wabunge 4 tu wa kuwakilisha kanda 4 za nchi
Sijasema habari ya kanda hapa ila wananchi hatuoni faida ya wabunge 400+ .Habari za kanda tulishakataa nchi hii subiri siku mkichukua nchi huki ahera muendako
Jina libaki hilo hilo la mbunge ila itakuwa :Unamaanisha jimbo na magavana
Huki - HukoHabari za kanda tulishakataa nchi hii subiri siku mkichukua nchi huki ahera muendako