Sio kidogoWabunge wetu walafi sana.
Wanafunzi King'ong'o walikuwa wanakaa chini. Hii sawa na kufanya biashara ya karanga kwa kukaanga kwa jiko LA umeme. Unatumia umeme wa 7000 kwa mauzo ya 3500bilion. 6.6 kwa miaka 5, hiyo pesa ingetosha kabisa
kwa hiyo bl. 6.6 unaweza ukanunua madawati yenye thamani ya 100k ukanunua madawati 66,000.Wanafunzi King'ong'o walikuwa wanakaa chini. Hii sawa na kufanya biashara ya karanga kwa kukaanga kwa jiko LA umeme. Unatumia umeme wa 7000 kwa mauzo ya 3500
Msukuma Usimuweke kundi moja na watu wa ajabu ajabu.Kuwe na magavana tuachane na ubunge....Aajiriwe kabisa ,nafasi itangazwe apigwe interview na bodi ya kibabe.....Sio wabunge kama kina Kibajji au msukuma au babu tale.
Hivi mil.11 ni sawa na madawati mangapi? Tunaweza kuwa tunajadili tatizo la madawati kumbe suluhu ni Wabunge.Ukiwa huna cha kuongea lazima ushukuru kwa dakika 8, dakika mbili zilizobaki unaunga mkono hoja unasubiri mwisho wa mwezi milioni 11.
Labda kule alikuwa practically siyo physically.Hahahaa! Mbona alipokuwa CEO kule alikuwa vizuri?
Sasa hivi ubunge imekuwa sehemu ya ulaji bila ya kuangalia weledi wa mtu.Ni hoja nzuri sana hii wadau ni vizuri tukaidadavua vizuri. Hawa watu 400 kasoro ni wengi mno kwa taifa changa kama letu. Walau tungekuwa na mbunge mmoja kila wilaya ingekuwa economical na tena tuweke vigezo vya kikatiba kuwa mbunge ili akawe msimamizi kweli wa serikali awe na elimu ya kutosha na uzoefu katika utendaji wa serikali. Rais Magufuli ameweza kuwakaba hadi wasomi wanaojulikana kwa sababu aliijua serikali vilivyo na mianya hawa watu wa serikalini walikuwa wanaiibia serikali. Hatuwezi kugharamia Wabunge kama Jah People ambaye sijawahi kusikia akichangia lolote ila tu kumpamba Mheshimiwa Rais na kuomba aongezewe vipindi vya Urais. Ili kuenenda na dunia ya sasa tunahitaji Wabunge wajuvi na weledi kwenye mambo anuai ya kiuongozi, usimamizi, udhibiti, sheria, sayansi na uchumi. Si lazima ajue yote kwa undani lakini awe ni mtu anayeweza kuyajua basics zaje na kuweza kujisomea kuingia deep zaidi inapohitajika.
Dawati na kiti chake ni 70,000/= kwa bei ya supplier Ila ukiingia front mwenyewe hadi 60,000/=Hivi mil.11 ni sawa na madawati mangapi? Tunaweza kuwa tunajadili tatizo la madawati kumbe suluhu ni Wabunge.
Huko hakuguswiTunaingia gharama sana kwenye mambo ya utawala.
Huu uzi wangu bora wa mwaka. Ingekuwa twitter ninge retweet. Bonge moja la point.Nami natia neno kwenye kauli ya spika Ndugai. Kama mwalimu mmoja anaweza kufundisha masomo matano basi mbunge mmoja pia anatosha kuwakilisha mkoa mzima.
Hakuna haja ya kuwa na wabunge 400 kasoro. Wakati huku chini kuna madiwani na wakurugenzi wa halmashauriri hawa ndio wanaojua changamoto za maeneo yao vizuri kuliko wabunge.
Kila mkoa utoe mbunge mmoja atakaepata taarifa zote kutoka kwa madiwani na wakurugenzi. Hivyo basi nchi nzima tuwe na wabunge 36 tu ili tubane matumizi.
Cc: spika
Cc: waziri mkuu
Cc: rais
Nakwambiaje mkuu ni aibu kulipa mishahara wabunge 10 wa DSM wakati wanafunzi wanakaa chini. Kama taifa hatuna vipaombelekwa hiyo bl. 6.6 unaweza ukanunua madawati yenye thamani ya 100k ukanunua madawati 66,000.
hiyo 66,000 uigawe kwenye shule yenye wanafunzi 400 ina maana shule 165 watapata hayo madawati.
kwa mantiki hiyo mkoa wa dar es salaam mzima kero ya madawati itakuwa imeisha
Kampeni zipigwe tu kama kawaida unazunguka mkoa mzima unanadi Sera zakoKama nakupata vile - na mfumo wa kampeni uweje
Hapo bado seating allowance na marupurupu kibao, mafao after 5yrsDSM pekee ina wabunge 10. Wote hao wanaenda wanaenda kusemea kero za zahanati na madarasa.
Milioni 11*10*60 kwa miaka 5.
Hiyo hela ingetosha kumaliza tatizo la zahanati na madarasa mkoa mzima