Mbunge mmoja anatosha kuwakilisha mkoa mzima

Nchi za wenzetu matajiri wanakuwa wabunifu, watengeneza bidhaa, wabunifu wa huduma mbalimbali, wakulima, wafugaji, yaani wazalishaji.

Sasa sisi sasa. Inabidi uwe mwanasiasa, au upate uteuzi fulani kwenye ofisi fulani ya sirikali au chama tena chama tawala au taasisi fulani ya sirikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…