Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Issue ipi mkuu ebu ifafanue vizuri kwanza na sisi tuielewe hio issue ni ipi?Hii ishu kwann sijui tunailazimisha
Tupunguzeni hasira Wazee mmeshika kwenye makali muda huu msisahau hiloNi bora uvunjike..
Wazanzibari ndio walioua maelfu ya ndugu zetu Watanganyika tarehe 29/10 ili kumweka Mzanzibari mwenzao Samia Suluhu Hassan kwenye ikulu ya Tanganyika..
Mimi nataka uvunjike leo na sio kesho...
Tunaitaka Tanganyika yetu...
Wachukue na waende kwao Zanzibar...
Si huu muungano?Issue ipi mkuu ebu ifafanue vizuri kwanza na sisi tuielewe hio issue ni ipi?
Uvunjike mara ngapi!?Mambo yanazidi kupamba moto.
============
Mwakilishi wa wananchi Jimbo la Ziwani, Mohamed Ali Salim akiwa katika uchangiaji wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Chukwani Unguja.
View attachment 3610111
Hiyo haikuhusuUkivunjika Pemba na Unguja mapigano lazima, wasikimbilie huku.