Na Watanganyika ndio walioua Wazanzibari tarehe 27 Januari, 2001, hadi UGP akajisifu na anaendelea kujisifu hadi leo. Jee ilikuwa sawa? Je mkuki kwa nguruwe?Wazanzibari ndio walioua maelfu ya ndugu zetu Watanganyika tarehe 29/10 ili kumweka Mzanzibari mwenzao Samia Suluhu Hassan kwenye ikulu ya Tanganyika..
Kwako wewe ni majungu, kwao ni kudai haki.Zanzibar hapatoshi tukisema kila mmoja arejee kwake, cha kufanya ni kuhakikisha Zanzibar inakuwa na wabunge smart wenye upeo mkubwa ambao watajikita kwenye kuleta maendeleo siyo chokochoko na majungu kama hao wa sasa
Kuishi kivyao vyao bila bughudha ya kupangiwa nini wafanye na nini wasifanye 🤪 !Tanganyika ina rasilimali nyingi ina kila kitu kujipanga kupi huko kwa Zanzibar?
Wewe ni mnajimu ?Ukivunjika Pemba na Unguja mapigano lazima, wasikimbilie huku.
Pole sanaWashukuru hizi fadhila wanalishwa bure tu.
Mwinyi na dadaake wanasimamia mkae sawa.
Nyinyi ukifa huo muungano sijui mtafanyaje,hata hicho kikao mnakaa bila kugaiwa hela ya mikopo mngekua hoi chakali.
Pumbavu sana.
Maumivu yakizidi muone DAKTARI pole sanaHawa watu wanatia kinyaa
naichukia Zanzibar kama kinyesi
Kuanza Kunoga SaasaHuo MUUNGANO ushavunjika sema ndio vile TUnasubir NCHIMBI achukue nch 2027