Kama wanawaona watanganyika ni kero walete hoja wajitoe kwenye muungano wakajifanyie mambo yao kwa uhuru, ila usultani ukirudi wasianze kuisumbua bara wasaidiwe. Usultani uko around, tena kwa sura mpya ya kisasa wakijitenga tu sultan anarudi kivingine kuja kutawala na hakuna rangi wataacha kuona wazanzibar kutoka kwa utawala ule wa kisultan japo atatawala kama kidemokrasia