Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MI kijiwe changu ni kile cha pembeni yake, pale kwa mudi, napigaga kahawa yangu na tangawizi yangu hapo fresh kabisa nasepa mdogo mdogo homeHivyo vijiwe vya kahawa hapo soko kuu mjini Arusha ni kati ya vijiwe kongwe kabisa ninavyovifahamu na hukutanisha wadau wengi sana hapo mjini Ara Chuga.
Dooh, nimekumbuka sana nyumbani.
Kuna mtaa hapo karibia na soko kuu walikua maarufu kwa uuzaji wa uji wa ulezi na mtaa mwingine pilau mbuzi, Mambo ya Chuga bwana.MI kijiwe changu ni kile cha pembeni yake, pale kwa mudi, napigaga kahawa yangu na tangawizi yangu hapo fresh kabisa nasepa mdogo mdogo home
TrueKuna mtaa hapo karibia na soko kuu walikua maarufu kwa uuzaji wa uji wa ulezi na mtaa mwingine pilau mbuzi, Mambo ya Chuga bwana.
Miaka hiyo wajanja wa mjini walikua wanakutana pub inaitwa Sega, ipo jengo linalomilikiwa na Manyata kama unamfahamu.True
Na alie kuwa anashinda sokoni kununua mitumba?Huku ni kuhangaika tu, na chanzo ni kukosa uhalali.
Duh,aisee umenisaidia kukunbuka hilo jina, mara ya mwisho kuingia hapo tulikuwa na chalii angu mmoja wa unga,tukagonga mvinyo kidogo tujatawanyika,msela alikuwa na mnyama(pikipiki kubwa) basi mi naenda zangu njiro mara simu ikaita,msela mwingine ananiambia "unamjua joe? Nikamwambia yap" nikamuuliza kwani nini? Akaniambia Joe amegonga lorry kwa nyuma hapa NMC na amefariki!! Aisee,ndiyo ilikuwa mara yangu ya mwisho kuingia hapo,nikasahau na jina, Sega pub(club?)Miaka hiyo wajanja wa mjini walikua wanakutana pub inaitwa Sega, ipo jengo linalomilikiwa na Manyata kama unamfahamu.
Ndio Sega , maarufu miaka hiyo, ila mmiliki wa jengo aliyemkodishia mwenye pub is no more yeye na wife na mwanae wa kwanza yule aliyewahi kuwa ripota ITV.Duh,aisee umenisaidia kukunbuka hilo jina, mara ya mwisho kuingia hapo tulikuwa na chalii angu mmoja wa unga,tukagonga mvinyo kidogo tujatawanyika,msela alikuwa na mnyama(pikipiki kubwa) basi mi naenda zangu njiro mara simu ikaita,msela mwingine ananiambia "unamjua joe? Nikamwambia yap" nikamuuliza kwani nini? Akaniambia Joe amegonga lorry kwa nyuma hapa NMC na amefariki!! Aisee,ndiyo ilikuwa mara yangu ya mwisho kuingia hapo,nikasahau na jina, Sega pub(club?)
Sana tu hicho kijiwe hakifai kabisa, kinajulikana chuga yote, mi mwenyewe sikaagi hapo nilikuwa nakaaga kile kinachoangalina na NMBHicho kijiwe cha soko kuu mlango wa juu nilishaambiwa kuwa kimejaa "chawa"kwa hiyo ukienda pale achana na stori za ujanjajanja au za siasa, na pale metropole kwa shoe shine
Hiyo Sega ipo hadi leo?Ndio Sega , maarufu miaka hiyo, ila mmiliki wa jengo aliyemkodishia mwenye pub is no more yeye na wife na mwanae wa kwanza yule aliyewahi kuwa ripota ITV.
Haipo, ilikua opposite na internet cafe ya mhindi anaitwa seif.Hoy
Hiyo Sega ipo hadi leo?