DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hakika uzalendo muhimu ✊🏿Mkuu hiyo unayosema elimu duni ndo inatuletea madaktari mahospitalini pamoja na wataalamu wengine. Sio vema kuponda sana ulicho nacho. Kuwa mzalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika uzalendo muhimu ✊🏿Mkuu hiyo unayosema elimu duni ndo inatuletea madaktari mahospitalini pamoja na wataalamu wengine. Sio vema kuponda sana ulicho nacho. Kuwa mzalendo
amwanisha vp mzazi aliyeuza mashamba ili kjana wake asome aje kumsaidia kesho na sasa hivi yupo mtaani tu ata Hana uhakika wa kula na alchobaki nacho n vyeti tu aelewe hzo ngonjera zenu za elimu ni urithi wa maisha?Kwa akili kama zako itachukua miaka mingi sana Tanzania kuendelea.
UWE NA ELIMU ALAFU UKOSE PESA ILI UJE UFUTE HUU UZI WAKO HAPA.Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala wa elimu kitu ambacho sio kabisa. Kasheku hajui kwamba serikali inaweza kununua vifaa tiba vya kila aina ila bila wataalamu wa kuvitumia vikaishia kukaa stoo?
Taifa haliwezi kuendelea kwa kudhani hawa matajiri uchwara wa biashara za uchuuzi wa bidhaa za China ndo wataleta maendeleo. Maendeleo ya kweli yataletwa kwa kuzalisha na kuuza zaidi nje bidhaa na huduma. Hilo haliwezi kufanikiwa kama hatutakuwa na wataalamu wetu wa kufanikisha hayo.
Mbunge Kasheku anapaswa kupuuzwa na kushauriwa kurudi shule. Kuwabeza wasomi ni laana kwa taifa.
Sasa kama unataka uheshumike kwa sababu ya elimu.. basi dhihilisha ujuzi wako kwa kufanya jambo lenye Friday kwa Jamie yako.... sio kuongea kingereza na kuchambua siasa na mpira,,,, gundua na uzalishe... sio kuja humu jf kulalamaInasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala wa elimu kitu ambacho sio kabisa. Kasheku hajui kwamba serikali inaweza kununua vifaa tiba vya kila aina ila bila wataalamu wa kuvitumia vikaishia kukaa stoo?
Taifa haliwezi kuendelea kwa kudhani hawa matajiri uchwara wa biashara za uchuuzi wa bidhaa za China ndo wataleta maendeleo. Maendeleo ya kweli yataletwa kwa kuzalisha na kuuza zaidi nje bidhaa na huduma. Hilo haliwezi kufanikiwa kama hatutakuwa na wataalamu wetu wa kufanikisha hayo.
Mbunge Kasheku anapaswa kupuuzwa na kushauriwa kurudi shule. Kuwabeza wasomi ni laana kwa taifa.
Sasa kama unataka uheshumike kwa sababu ya elimu.. basi dhihilisha ujuzi wako kwa kufanya jambo lenye Friday kwa Jamie yako.... sio kuongea kingereza na kuchambua siasa na mpira,,,, gundua na uzalishe... sio kuja humu jfInasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala wa elimu kitu ambacho sio kabisa. Kasheku hajui kwamba serikali inaweza kununua vifaa tiba vya kila aina ila bila wataalamu wa kuvitumia vikaishia kukaa stoo?
Taifa haliwezi kuendelea kwa kudhani hawa matajiri uchwara wa biashara za uchuuzi wa bidhaa za China ndo wataleta maendeleo. Maendeleo ya kweli yataletwa kwa kuzalisha na kuuza zaidi nje bidhaa na huduma. Hilo haliwezi kufanikiwa kama hatutakuwa na wataalamu wetu wa kufanikisha hayo.
Mbunge Kasheku anapaswa kupuuzwa na kushauriwa kurudi shule. Kuwabeza wasomi ni laana kwa taifa.
Uheshumike, dhihilisha, jamie ❌. Wewe mrundi acha kiherehere ninapoongelea mambo yanayohusu Tanzania. Pumbavu.Sasa kama unataka uheshumike kwa sababu ya elimu.. basi dhihilisha ujuzi wako kwa kufanya jambo lenye Friday kwa Jamie yako.... sio kuongea kingereza na kuchambua siasa na mpira,,,, gundua na uzalishe... sio kuja humu jf
Huyo ni mzazi mpumbavu sana sina cha kumwaminisha zaidi ya kumwona ni mpumbavu.Ut
amwanisha vp mzazi aliyeuza mashamba ili kjana wake asome aje kumsaidia kesho na sasa hivi yupo mtaani tu ata Hana uhakika wa kula na alchobaki nacho n vyeti tu aelewe hzo ngonjera zenu za elimu ni urithi wa maisha?
Elimu haiwezi kukusaidia pale panapohitajika pesa....ukiumwa ukaenda Aghakan hawataulizia kiwango chako cha elimu Bali watakuhitaji ulipie huduma watakayokupatia....TRA hawahitaji kujua kiwango chako cha elimu wanahitaji ulipe kodi ambayo ni pesa.Huyo dawa yake mbona ipo, yaani siku akiugua let say hata akipata ajali au siku akiwa na issue TRA ndipo atajua umuhimu wa elimu. Anasubiliwa kwa hamu
Aache makasiliko ,kama wengine wanavojivunia kwamba mimi nimesoma uutaniambia nini,na yeye muacheni ajivunie.Mimi nilidhani unatupa mbadala wa pesa kama pesa sio mbadala wa elimu basi mbadala wa pesa ni nini?
Nimekuwa mrundi tena? Kwahiyo mtu akisema ukweli anaabadilishwa uraia nakuwa mrundi.... duuh! Sawa msomi mwenye kuongea kingereza swaaafi kabisaUheshumike, dhihilisha, jamie ❌. Wewe mrundi acha kiherehere ninapoongelea mambo yanayohusu Tanzania. Pumbavu.
Kajifunze kuandika vizuri kiswahili.Nimekuwa mrundi tena? Kwahiyo mtu akisema ukweli anaabadilishwa uraia nakuwa mrundi.... duuh! Sawa msomi mwenye kuongea kingereza swaaafi kabisa
Sawa msomiKajifunze kuandika vizuri kiswahili.