Labda u-presidency wa CHATO ya Magufuli siyo Tanzania!!#Msukuma for presidency!!
Aisee kwani ni wengi mkuuMsomi kumjibu mtu kama msukuma itaamsha hasira za wajinga wengi sana. Yaani ni sawa na zile kelele za wanaopigania haki za wanawake. Haki za mtu kariba ya msukuma ina watetezi wengi sana.
Typing error ,ulimwona au fatilia ni aibu kubwa kabisaVunjo siyo Hai
Aisee kwani ni wengi mkuu
Mwerevu akienda nchi ya wajinga yeye ndiye huwa mjinga. Tz tujitathmini kama nchi. Ni nchi ya werevu au wajinga? Kwa nini werevu wakija Tz wanakuwa wajinga? Au kwa usahihi niseme tunawafanya wajinga! Muhongo mwamba katika miamba wa miamba kawa mjinga. Huyu bahati mbaya sana ana superiority complex balaa. Nikikumbuka Tido Mhando wa BBC alivyoanza kuleta mapinduzi tbc akaonekana mjinga! Tuna haja kabisa kama taifa kujitathmini.Hapana. Relevancy ya wasomi unaowafikiria siyo tu anavyokusemesha ukikutana naye au akichangia Bungeni. Kwao hiyo ni ziada na kwetu ni bonus. Ukitaka kujua faida zao, soma maandishi yao. Yamejaa maktaba na serikalini na yanatumika sana kwa taarifa yako. Sana tu. Kisha, kwa ambao ni walimu, hebu angalia mchango wao wa kuelimisha taifa! Kwa upande wa michango kwa taifa, wa Musukuma ni kichuguu na wa Muhongo au wenzake kama Kimei ni Mlima Kilimanjaro!
Inferiority complex mzee hamna kingine. Nashangaa kale ka chama ka taasisi za juu kamekaa kimya tu. Yaani maprofesa wanatukanwa Afu kesho wanaingia darasani kutengeneza maprofesa zaidi?Mimi ninachoamini mtu aliyesoma anajua vitu vingi vingi sana ambavyo hao wakina msukuma hawajui degree ni Elimu kubwa sana. Sijui wabunge wasomi Wanamuogopa kumjibu ndio maana anavimba kichwa na kuwa nanga, hakusoma tu akubali au arudi shule umri na umbo vinamruhusu.
Yaani hawana idadi ndugu yangu... kwa hesabu za haraka chukua idadi ya wafuasi wa msukuma, jah people, kibajaji, mchungaji masanja mkandamizaji, mfalme zumaridi, kondeboy na wajinga wengine wenye ufuasi mkubwa halafu jumlisha ili upate picha ya uwingi wa watetezi.Aisee kwani ni wengi mkuu
chanzo cha tatizo ukikifahamu hutapanick badala yake utayatathmini mawazo yako ili kutengeneza solution ya kudumu yenye tijaUtamaduni wa kuonea aibu watu wajinga
Na kuwaacha waeneze ujinga wao hadharani
Hadi sasa wanaingia bungeni kwenda ongea
Upuuzi wao..ni utamaduni wa kipumbavu Sana....
Taifa linazidi kuwa Taifa la upumbavu wa halaiki.."mass embacilization"
Thibitisha kauli yako mkuuuWaganda wanasema Iddy Amin alikuwa kiongozi mzuri licha ya kutokuwa na elimu
Mmawia ana masters? Are you kidding me?!Lakini pia haimaanishi kuwa basi kwakuwa hukubahatika kuwa na Elimu za Wastani ( Degree ) aliyonayo Generalist, ya Kati ( Masters ) aliyonayo @Sky Eclat na @Mmawia
Ila pamoja na degrees zako tatu huwa unazingua sana kwa story zako za uongo halafu zisizoisha.Hili jambo ni kweli umeshindwa tu kuliwasilisha vizuri. Lakini nadhani wasomi wamenyamaza sana kiasi Musukuma anataka kuhalalisha illiteracy yake ionekane ni jambo la kujivunia na kutweza utu na elimu ya wenye Elimu.
Mimi nina Degrees 3 but huwa sijitanabaishi katika Umma kwa kutangaza Degree zangu. Hili watu huliona kwenye utendaji napokuwa kazini au mambo ya kitaaluma popote napokuwepo.
Otherwise nabaki tu kama Chizi mwingine yeyote wa hapa JF na Tanzania au Duniani kwa Ujumla.