Ndio maana sipendi WAHINDI hata uniamshe usiku wa mananeCCM imezoea kudeal na wajinga ndio maana wakikutana na mtu anayejitambua ni aidha wamfuze au wa uue maana hua wanakwama kwa hoja
Alitangaza mwenyewe au mimi nimesahau?Ana PhD ya wapi na nini ?!
WaTz mmeharibu sifa za wasomi. Ndiyo maana wizara ya elimu, amepewa mtu mwenye elimu za hapa na pale.
Labda kama alibumba.Ana PhD ya wapi na nini ?!
WaTz mmeharibu sifa za wasomi. Ndiyo maana wizara ya elimu, amepewa mtu mwenye elimu za hapa na pale.
Na wewe unaamini kabisa Msukuma ana PhD?Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.
Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.
Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba kwa jinsi picha nilivyoiona. Acha kupenda sifa.
BORA YEYE KULIKO MWENZIE ALIETUMIA MAKALIOMtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.
Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.
Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba kwa jinsi picha nilivyoiona. Acha kupenda sifa.
Unataka kusemaje !?Ili mtu aweze kutumia akili, kitu cha kwanza ni hiyo akili yenyewe iwepo!.
P.
Asome wapi wakati alinunua tena kwenye vyuo feki hujui?!!!Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.
Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.
Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba kwa jinsi picha nilivyoiona. Acha kupenda sifa.
Ukweli usemwe, msukuma anaboa kwa namna alikuwa anamfata mwekezaji kwa nyuma, ata kama ni wewe ungempasua kwa ngumi nzito.Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.
Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.
Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba kwa jinsi picha nilivyoiona. Acha kupenda sifa.
Ndagha pascal !!! naona gamba limekutoka sasa upo sawa 😃😃😃Ili mtu aweze kutumia akili, kitu cha kwanza ni hiyo akili yenyewe iwepo!.
P.
Aisee ni hatari, kumbe unaweza kuta kipimo kikitembea huwenda ni wengi kita detect hiyo changamotoKwa taarifa tu!
Huyo Msukuma akiwa Diwani na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Geita Vijijini ,miaka ya 2000 alishavuliwa huo Uenyekiti kwa tuhuma ya changamoto ya Afya ya Akili,akabaki na Udiwani tu..
Nakumbuka Kikao kilisimamiwa na aliyekuwa RC wa Mwanza( then Geita ni sehemu ya Mwanza) late Abbas Kandoro
Itategemea yuko pale kwa nguvu ya nani. Yawezekana akajuta dkt. Msukuma.Mwekezaji lazima ajute kwa alichokifanya
Msukuma hana akiliUnataka kusemaje !?
Nani kakwambia Msukuma amesoma anaphd ni lasaba ndugu na pale alikuwa anaprove ulasaba wakeMtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.
Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.
Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba kwa jinsi picha nilivyoiona. Acha kupenda sifa.
Naomba urekebishe hii.Mtu amesoma
MSukuma yuko vizur anatete haki yawanaichiKwa kusema msukuma amesoma na ana Phd wewe ni bumunda
Ana PhD usisahau hilo..Ili mtu aweze kutumia akili, kitu cha kwanza ni hiyo akili yenyewe, kwanza iwepo, ndipo itumike!.
P.
BumundaMSukuma yuko vizur anatete haki yawanaichi
Ana HpD yaani, Hamnazo Punguani Dororo.Ana PhD usisahau hilo..