AVANTES
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 395
- 359
🤣🤣🤣 Kwa maelezo haya ina maana awez kutumia kitu ambacho hana , kwa kifupi hana Akili?Ili mtu aweze kutumia akili, kitu cha kwanza ni hiyo akili yenyewe, kwanza iwepo, ndipo itumike!.
P.
🤣🤣🤣 Kwa maelezo haya ina maana awez kutumia kitu ambacho hana , kwa kifupi hana Akili?Ili mtu aweze kutumia akili, kitu cha kwanza ni hiyo akili yenyewe, kwanza iwepo, ndipo itumike!.
P.
Kamwe haiwezi tokea Msukuma akajuta. Umemsikiliza vizuri waziri?Itategemea yuko pale kwa nguvu ya nani. Yawezekana akajuta dkt. Msukuma.
Amesoma wapi????Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria.
Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract.
Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba kwa jinsi picha nilivyoiona. Acha kupenda sifa.