carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Imagine huyu ni Baba wa mtu, ana familia na inamtemegea...CCM ni naniliu sana sana sanaMbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara ya Rais Samia, ambaye anatarajiwa kuzindua Mji wa Serikali.
Soma Pia : Kama sio Jemedari Rais Samia suluhu Hassan mji wa serikali Dodoma usingewezekana
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara ya Rais Samia, ambaye anatarajiwa kuzindua Mji wa Serikali.
Soma Pia : Kama sio Jemedari Rais Samia suluhu Hassan mji wa serikali Dodoma usingewezekana
mamtu manene hua ni majinga majinga beleive meMbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara ya Rais Samia, ambaye anatarajiwa kuzindua Mji wa Serikali.
Soma Pia : Kama sio Jemedari Rais Samia suluhu Hassan mji wa serikali Dodoma usingewezekana
Mamtu manene hua ni majinga majingaEti zee zima linajiita Trump
Hili nadhani lina zamu ya kufua chupi kila jmosi. Zinalundikwa linakwenda kufua. Huwezi sema mavi kama hayo kama una akili timamuMbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara ya Rais Samia, ambaye anatarajiwa kuzindua Mji wa Serikali.
Soma Pia : Kama sio Jemedari Rais Samia suluhu Hassan mji wa serikali Dodoma usingewezekana
Rubbish!
Tarehe 30 ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa mji mkuu wa Serikali Dodoma.
Na kaona ufahamu hii ilikuwa ni ndoto ya baba wa taifa toka miaka hiyo. Lakini Dkt. Samia Suluhu Hassan anakuja kuitimiza ndoto hiyo.
Na mtajionea tarehe 30, majengo ni ya kisasa, ukifika pale unaweza ukafikiri uko Johannesburg au uko Cape Town, lakini ni Tanzania Dodoma.
Kwa hiyo haya ni maendeleo makubwa sana na tunampa kongole sana Rais kwa kazi kubwa aliyoifanya.