Yuko sahihi kabisa; Marekani siku hizi majimbo mengi yanatoza kodi mauzo yote ya mitandaoni. Kampuni kama Amazon, maduka yake ni ya mtandanoni na ndiyo yenye mauzo mengi kuliko kampuni yoyote. Sasa iwapo wa offline mwenye mauzo kidogo analipa kodi, iweje online mwenye mauzo mengi asilipe kodi.
Tatizo sasa litakuwa kwenye uhakiki wa hizo biashara za mtandaoni
Hueleweki !Zinalipa mbona
Haya to cut the story short hizo kampuni za online anazoongelea zinauza njegere,njugumawe na bidhaa tunazozalisha Sisi au zina import tuanzie hapo
Ila kama ni online business zinauza mishkaki ,dawa za kimasai,na asali ya Tabora sawa
Naomba website zao hao wauza local products online ambao hawana duka physical .Natafuta wauza njegere online
Inaelekea upeo wako mdogo kwenye online business kwenye imported product product bidhaa inaenda moja kwa moja kwa mteja wa mwisho .Mfano nimeagiza viatu vyangu Italia vya kuvaa .Bandarini nikivitoa nalipa kodi zote ikiwemo VAT tunamalizanaHueleweki !
Tambua kuwa unaponunua bidhaa kwenye duka lolote la mtaani unatakiwa hulipia kadi ya mauzo kwa viwango tofauti. Ni vivyo hivyo ukinunua kwenye duka la unline, unatakiwa ulipia kodi kwa viwango vitavytakiwa. Manunuzi hayajali umeimport au umezalisha mwenyewe. Kuna tofauti kati ya bei za imported goods na bei za locally produced goods kwa vile bei za imported goods zitajumuisha freight, pamoja na kodi za customs ili mwenye duka aweze kupata faida.
Hii ya kuuza mishikaki, dawa za kimasai na mengineyo ni kuzungukazunguka kukwepa ukweli tu. Kodi ni mojawapo ya contract kati ya mwanachi na serikali. Ni afadhali ushauri kuwa serikali ipunguze kodi za mauzo, lakini siyo kuwa mauzo mengine yalipe kodi wakati mengine hayalipi kodi.
Kuna tofauti ya kutafuta wateja mtandaoni na kufanya biashara kwa njia ya mtandao. Watanzania wengi wanatafuta wateja mtandaoni na sio kufanya biashara mtandaoni.
Unakuta mtu ana duka lake Kariakoo na anawapa vijana bidhaa watagute wateja mtandaoni kwa lengo la kuiuza. Kwa mfano huo utasema hiyo ni Online Business?
Ni muhimu kuielewa kwanza dhana ya e-Business kabla ya kufikiria kulipa Kodi.
No! hujui unalosema wewe. Tena kadri unavyoendela na mjadala ndipo unazidi kujionyesha unapinga jambo usilojua. Unarukaruka kila pembe bila kuwa na coherent argument. Usilaumu bila kujua unatetea niniInaelekea upeo wako mdogo kwenye online business kwenye imported product product bidhaa inaenda moja kwa moja kwa mteja wa mwisho .Mfano nimeagiza viatu vyangu Italia vya kuvaa .Bandarini nikivitoa nalipa kodi zote ikiwemo VAT tunamalizana
Mfanyabiashara akiagiza city vyake online anapeleka kwenye duka lake kariakoo au kokote hawezi weka dukani kama leseni hana na TRA halipi
Huyo mbunge anachoongea hata haelewi online business ni nini hasa na kodi je unalipa au hailipi? Haelewi concept ya online shop
Mfano kuna kampuni za akiagiza magari Tanzania ziko kibao zimesajiliwa TRA ukiagiza anawalipa commission na TRA wanalipa Kodi kama commission agents
Mama ntilie na machinga au naongelea au unaongelea yupi huyo mganga njaa tuLakini pia wapo ambao hawana maduka kabisa. Bidhaa ziko nyumbani na anafanya delivery only hakuna pick up.
Nadhani atakua anamaanisha hawa.
Umeandika mengi ila kifupi hujui online business ni operate vipiNo! hujui unalosema wewe. Tena kadri unavyoendela na mjadala ndipo unazidi kujionyesha unapinga jambo usilojua. Unarukaruka kila pembe bila kuwa na coherent argument. Usilaumu bila kujua unatetea nini
Elewa hivi:
(1) Ukiagiza bidhaa yako popote dunini itabidi ulipie kodi ya forodha kwa viwango vilivyowekwa na serikali. Haiyo haijalishi kama bidhaa hiyo ni kwa matumizi yako binafsi au ni kwa ajili kuuuza. Hiyo kodi ya forodha ni kitu kimoja na inalipwa kwa bidhaa zinazoingizwa nchini kutoka nje tu.
(2) Ukiuza bidhaa yoyote, bila kujali bidhaa hiyo imetoke wapi, unatakiwa ulipie kodi ya mauzo.
(3)Sasa iwapo unauza biadha uliyonunuea kutoka mtu mwngine aliyoegiza bidhaa hiyo kutoka nje, ni lazima msululu wa kodi hizo uwepo. Hata hivyo, serikali imeweka utaratibu wa kuondoa sehemu ya kodi hizo kwa resellers lakini mfumo unatakiwa uwe hivyo.
Kuwa na leseni ya kufanya biashara ni kitu tofauti kabisa na kodi. Leseni ni kibali cha serikali kukuruhusu wewe kufanya biashara, na kodi na malipo serikali yatokanyo na mauzo. Unbaweza kuwa na leseni lakini usiwe na mauzo, hivyo usilipe kodi, lakini huwezi kufanya mauzo bila kuwa na leseni.
Hawa ni wazuri sana kwenye kuibua fursa za kodi kutoka kwa wananchi wanaohangaika.Ni sahihi kiasi fulani.Pia ni wazuri kujipangia na kuiipandishia posho n.k. na kupanga hata waitwe ama watambulike kama nani kiheshima.Sitting allowance za wabunge zianze kutozwa kodi.
Naunga mkono hoja mtu unalipwa tu kwa kukalia kiti analipwa sitting allowanceSitting allowance za wabunge zianze kutozwa kodi.
Sehemu pekee Tanzania ambako wabunge wote wa CCM na upinzani hukubaliana Mia kwa mia ni eneo la posho za bungeniHawa ni wazuri sana kwenye kuibua fursa za kodi kutoka kwa wananchi wanaohangaika.Ni sahihi kiasi fulani.Pia ni wazuri kujipangia na kuiipandishia posho n.k. na kupanga hata waitwe ama watambulike kama nani kiheshima.
Ila linapokuja game kuwageukia wao, lol lol... hapo ndipo utajua mwanasiasa ni mwanasiasa tu siku zote.Blah blah za kutosha.Japo si wote.Ila wengi wao.
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Neema amehoji kwa nini biashara za mtandaoni hazitozwi kodi kama biashara nyingine zinazofanyika nje ya mtandao. Mbunge huyo amenukuliwa akisema "Biashara ikifikia mauzo ya 4m, TRA wanatoza Kodi ya 100k/mwaka.
Biashara ikifikia mauzo ya 100m wanasajiliwa VAT na wanatozwa Kodi kulingana na Faida. Kwanini biashara za mtandaoni zisitozwe Kodi hata zikifikia mauzo stahiki? TUJADILI Online vs Offline ✍".
View attachment 2145753
Labda utufafanulie inalipwaje hiyo kodi kwenye " posho ya kukaa"Kwani hawalipi kodi?
Sio kweli, inategemea kimepitia wapi. nishanunua vitu sana ebay na alibaba through international shipping nikaenda kuvichukua posta na hamna alieniuliza. ila vikipitia DHL and the like imekula kwakoMauzo mengi ni ya kutumia PayPal ambako Tanzania hatujafika bado hayo mengine mbunge anaongea ujinga tu
Biashara nyingi za kununua kodi zote ukiagiza nje kodi zote unalipa kabla kuchukua mzigo wako
Mfano unaagiza gari kununua gari online shops kodi zote unalipa kuanzia za bandari, TRA,kila kitu ndio unachukua gari yako hata kupitia kwa agent au online agents walioko Tanzania
Muulize yeyote aliyewahi nunua kitu online duka liwe Amazon nk ambaye kilipofika nchini hakulipa kodi.Tena kodi yake ya kutisha mno.Waweza apa kutoagiza tena kitu cha dola 20 iambayo ni kama elfu 40 za Tanzania mpaka kukitoa waweza lipa kodi ,tozo nk laki moja
Mbunge anaongea vitu hewa hewa tu
Mkuu issue ni kwamba online business Bongo haija-mature kutokana na Utapeli na watu wengi kuwa waoga na bado hakuna friendly facilities za payment gateways ambazo mtu analipa palepale na pesa kuingia kwenye platform Tukichukulia mfano wa platforms kama alibaba au ebay (ambayo inawaunganisha wauzaji na wanunuzi) wote wakiwa wamesajiliwa wale sellers wanafahamika na mauzo yanaeleweka ni rahisi kuwabana kulipa kodi..., na platform as a business pia italipa kodi...,Hueleweki !
Tambua kuwa unaponunua bidhaa kwenye duka lolote la mtaani unatakiwa hulipia kadi ya mauzo kwa viwango tofauti. Ni vivyo hivyo ukinunua kwenye duka la unline, unatakiwa ulipia kodi kwa viwango vitavytakiwa. Manunuzi hayajali umeimport au umezalisha mwenyewe. Kuna tofauti kati ya bei za imported goods na bei za locally produced goods kwa vile bei za imported goods zitajumuisha freight, pamoja na kodi za customs ili mwenye duka aweze kupata faida.
Hii ya kuuza mishikaki, dawa za kimasai na mengineyo ni kuzungukazunguka kukwepa ukweli tu. Kodi ni mojawapo ya contract kati ya mwanachi na serikali. Ni afadhali ushauri kuwa serikali ipunguze kodi za mauzo, lakini siyo kuwa mauzo mengine yalipe kodi wakati mengine hayalipi kodi.
Kwa hiyo hukulipa kodi.posta ?Sio kweli, inategemea kimepitia wapi. nishanunua vitu sana ebay na alibaba through international shipping nikaenda kuvichukua posta na hamna alieniuliza. ila vikipitia DHL and the like imekula kwako