Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila kitu cha marekani tuige si huku kwetu ndo kwanza biashara mtandaoni ni changa kwann usisubiri ikue??Yuko sahihi kabisa; Marekani siku hizi majimbo mengi yanatoza kodi mauzo yote ya mitandaoni. Kampuni kama Amazon, maduka yake ni ya mtandanoni na ndiyo yenye mauzo mengi kuliko kampuni yoyote. Sasa iwapo wa offline mwenye mauzo kidogo analipa kodi, iweje online mwenye mauzo mengi asilipe kodi.
Tatizo sasa litakuwa kwenye uhakiki wa hizo biashara za mtandaoni
Kwani CHADEMA ina ruzuku?Unataka vifutwe halafu chadema ipate wapi pesa za kuendesha shughuli za chama?
Inaonekana wewe hukitakii mema chama chetu kikuu cha upingaji
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Neema amehoji kwa nini biashara za mtandaoni hazitozwi kodi kama biashara nyingine zinazofanyika nje ya mtandao. Mbunge huyo amenukuliwa akisema "Biashara ikifikia mauzo ya 4m, TRA wanatoza Kodi ya 100k/mwaka.
Biashara ikifikia mauzo ya 100m wanasajiliwa VAT na wanatozwa Kodi kulingana na Faida. Kwanini biashara za mtandaoni zisitozwe Kodi hata zikifikia mauzo stahiki? TUJADILI Online vs Offline [emoji871]".
View attachment 2145753
Sababu hafifu sana hiyo. Mbona unalipishwa tozo wakati bado ni taifa changa wala huduma za kibenki hazijasambaa sana huko vijijini na unalipa.Sio kila kitu cha marekani tuige si huku kwetu ndo kwanza biashara mtandaoni ni changa kwann usisubiri ikue??
Kwakua we unanafuu hutaki huyu mdogo anayejikuza akue kisha ndo aliwe?? Achani dagaa zikue mle minofu
DuhSababu hafifu sana hiyo. Mbona unalipishwa tozo wakati bado ni taifa changa wala huduma za kibenki hazijasambaa sana huko vijijini na unalipa.
Tatizo jinsi mnavyo wakilisha maoni yenu mnafanya watu wadhani kodi ni adhabu na hizi iwapo iwapo zenuYuko sahihi kabisa; Marekani siku hizi majimbo mengi yanatoza kodi mauzo yote ya mitandaoni. Kampuni kama Amazon, maduka yake ni ya mtandanoni na ndiyo yenye mauzo mengi kuliko kampuni yoyote. Sasa iwapo wa offline mwenye mauzo kidogo analipa kodi, iweje online mwenye mauzo mengi asilipe kodi.
Tatizo sasa litakuwa kwenye uhakiki wa hizo biashara za mtandaoni
haya mambo yenye kuh. mahesabu yanawapaga watu shida. anajiona kamaliza kwa kuchanganya maneno ya kibiashara ya kingereza na kiswahili bila kujua anachanganya mambo.
angetutofautishia promotion na mauzo kwanza badala ya kusema tu "online business" kwa ujumla.
najua wafanyi biashara wanalipa kwa kuwa kwenye bei kuna gharama zote pamoja na kodi, VAT na faida. nionavyo mm, kutumia mitandao ni njia tu ya kufikia mteja (promotion), bado mauzo. hata hivyo mitandao hiyo bado ina tozo zake, ni kodi.
when you live in a glass house don't throw stones. kashiba, anasahau kuna wenye njaa
Hawa wamekwambia hawalipi Kodi ? , Binafsi sijafanya due dilligence, ila kwa mfano mdogo tu hawa Naona Address yao hio hapoMachinga siyo biashara kwani haina leseni na hivyo haikatwi kodi, ni vivyo hivyo kutangaziana instagram na kuuziana mtu na mtu siyo biashara kwa vile haina leseni.
Baadhi yake ni kama ifuatavyo
Shop Online Tanzania
www.shoponline.co.tz
Again Una uhakika hawalipi ?![]()
Home - Zudua Home
Tanzania's own online shopping ecommerce marketplace.Top brands at great prices! Order from anywhere anytime and get your products delivered at home. Shop online in Tanzania, home delivery in Dar-es-salaam shipping to Arusha, Mwanza, Zanzibar, Dodoma, Iringa, Bukoba, Tabora, Morogoro, Moshi and...zudua.co.tz
![]()
International Online Shopping Store for Premium & Luxury Brands | Buy Imported Goods from Ubuy Tanzania
Shop for electronics, apparel, mobile phones, beauty products & more online from the overseas market at low prices in Tanzania. Experience the best online shopping for global brands & products at Ubuy & get them shipped worldwide.www.ubuy.co.tz
![]()
Online Shopping in Tanzania for Mobiles, Electronics, Clothing & More
Tanzania’s online store for Mobiles, Clothing, Baby products, Shoes, Electronics & Home Appliances. Enjoy great deals and fastest delivery in Tanzania mainland & Zanzibar.www.impala.co.tz
![]()
Best Online Shopping in Tanzania | Fast Delivery | Bei Chee
Bei Chee is the best online shopping site in Tanzania, with top brands in Electronics, Home appliances, Computer laptops, and Accessories under one roof.beichee.co.tz
Kama wabunge hawalipi kodi na wengine nao wasilipe na kinyume chake.Hiyo ya wabunge kutokulipa kodi au kulipwa posho juu ya mishahara kwa kazi waliyoomba nimewahi kuilalamikia sana pia kuwa siyo sahihi. Anapogombea awe anajua mashahara wa kazi hiyo ni upi na apokee mshahara huo huo hadi anamaliza kipindi chake. Nyongeza ya mishahara ya wabunge inapofanywa isiwe effective mpaka baada ya uchaguzi. Kwa kosa la wabunge kutokulipa kodi haina maana kuwa kodi nyingine pia zisilipwe. Ni afadhali kudai wabunge pia walipe kodi, lakini siyo kukataza wengine wasilipe kodi kwa vile wabunge hawalipi kodi.
Ukiligusia hili hawatakuacha salama, iwe kwa ndumba au kwa wasiojulikanaSitting allowance za wabunge zianze kutozwa kodi.
Tupunguze marupurupu ya viongozi wote, kwa kuwa mishahara yao ni mikubwa wasipewe usafiri, entertainment allowance, kodi ya nyumba na mengine mengi wawape wananchi ahueni. Kuwatoza wananchi kodi kubwa ni kuwaongezea matatizo. Ni kupunguza au kuondoa stahili zote wanazopata viongozi ndio solutionMbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Neema amehoji kwa nini biashara za mtandaoni hazitozwi kodi kama biashara nyingine zinazofanyika nje ya mtandao. Mbunge huyo amenukuliwa akisema "Biashara ikifikia mauzo ya 4m, TRA wanatoza Kodi ya 100k/mwaka.
Biashara ikifikia mauzo ya 100m wanasajiliwa VAT na wanatozwa Kodi kulingana na Faida. Kwanini biashara za mtandaoni zisitozwe Kodi hata zikifikia mauzo stahiki? TUJADILI Online vs Offline ✍".
Pia, soma:
1). Dkt. Ndugulile: Kutoza kodi Mapema kwenye Biashara za mitandaoni kutaua ajira za Vijana wengi na kudumaza e-Commerce
View attachment 2145753
Hiyo ya wabunge kutokulipa kodi au kulipwa posho juu ya mishahara kwa kazi waliyoomba nimewahi kuilalamikia sana pia kuwa siyo sahihi. Anapogombea awe anajua mashahara wa kazi hiyo ni upi na apokee mshahara huo huo hadi anamaliza kipindi chake. Nyongeza ya mishahara ya wabunge inapofanywa isiwe effective mpaka baada ya uchaguzi. Kwa kosa la wabunge kutokulipa kodi haina maana kuwa kodi nyingine pia zisilipwe. Ni afadhali kudai wabunge pia walipe kodi, lakini siyo kukataza wengine wasilipe kodi kwa vile wabunge hawalipi kodi.
Bora kiazi mbatata utauza MkuuKiazi mbatata!
Si kasingle maza sugu,kazi yake bungeni kuongea pumba tupu kalisema wanaume wameishiwa nguvu za kiume...kumbe kenyewe mbususu bwawa la mteraHaka kabunge huwa kanajiona kanajua sana mambo kumbe seti tupu. Magu alitukosea sana Watanzania kutujazia ngumbaru bungeni.
Taja platform ya Tanzania inayofanana na ebay, amazon, pia hapo hapo kwenye shipping ukiweka postcode ya Tanzania hio tax yote inapotea..kwaio wewe unalipa sababu shippong destination ni within united states...Nimemwelewa hivyo; angalia juzi nilinunua kitu amazon.com, bado nililipia tax. Vile vile, kwa Amazon kuniuzia kitu mtaani kwangu, serikali ya mtaa nayo inapata kodi ya biashara kutoka Amazon.
Kwa hiyo serikali inapata kodi mbile: ile ya mauzo kutoka kwangu mnunuzi, na kodi ya biashara kutoka Amazon muuzaji, ingawa ile % ya kodi ya biashara ni ndogo sana kwa biashara za online kulinganisha na zile za offline, lakini bado wanalipa.
View attachment 2145767