Mbunge Neema Lugangira(Viti Maalum) ashauri Biashara za Mtandaoni kuanza kutozwa Kodi

Huyu mbunge kwa umaalum wake anatokea mkoa gani? Maana anaongoza kwa pumba huko bungeni
 
Sio kila kitu cha marekani tuige si huku kwetu ndo kwanza biashara mtandaoni ni changa kwann usisubiri ikue??
Kwakua we unanafuu hutaki huyu mdogo anayejikuza akue kisha ndo aliwe?? Achani dagaa zikue mle minofu
 
 
Sio kila kitu cha marekani tuige si huku kwetu ndo kwanza biashara mtandaoni ni changa kwann usisubiri ikue??
Kwakua we unanafuu hutaki huyu mdogo anayejikuza akue kisha ndo aliwe?? Achani dagaa zikue mle minofu
Sababu hafifu sana hiyo. Mbona unalipishwa tozo wakati bado ni taifa changa wala huduma za kibenki hazijasambaa sana huko vijijini na unalipa.
 
Tatizo jinsi mnavyo wakilisha maoni yenu mnafanya watu wadhani kodi ni adhabu na hizi iwapo iwapo zenu
 
haya mambo yenye kuh. mahesabu yanawapaga watu shida. anajiona kamaliza kwa kuchanganya maneno ya kibiashara ya kingereza na kiswahili bila kujua anachanganya mambo.

angetutofautishia promotion na mauzo kwanza badala ya kusema tu "online business" kwa ujumla.

najua wafanyi biashara wanalipa kwa kuwa kwenye bei kuna gharama zote pamoja na kodi, VAT na faida. nionavyo mm, kutumia mitandao ni njia tu ya kufikia mteja (promotion), bado mauzo. hata hivyo mitandao hiyo bado ina tozo zake, ni kodi.

when you live in a glass house don't throw stones. kashiba, anasahau kuna wenye njaa
 
Ubunge wa michongo
 
Hawa wamekwambia hawalipi Kodi ? , Binafsi sijafanya due dilligence, ila kwa mfano mdogo tu hawa Naona Address yao hio hapo
Shop No. 13, Ground Floor, Dar Free Market Mall, Ali Hassan Mwinyi Road, Oysterbay, Dar es Salaam, Tanzania.

Na mtu akinunua kitu hapa huenda ni different medium ya mtu kununulia hapa ila mauzo yote yapo na yanaweza yakawa tracked na TRA sasa hapo hawalipi Kodi kivipi ? Ni kama nilivyokwambia hata hao LIPA kwa MPESA kabla hawajakupa hio API ili uweke kwenye site yako lazima uwe a registered Business, Na mauzo yote yanajulikana na TRA inaweza ikatrack na kama hata hujachagiwa siku ya siku usishangae wanabacktrack mauzo yako na unaambiwa unadaiwa trillion kadhaa
Again Una uhakika hawalipi ?
 
Wengi katika mitandao yetu hutafuta wateja na sio (online buy and sell platform)
 
Kama wabunge hawalipi kodi na wengine nao wasilipe na kinyume chake.
Hiyo ndo misingi ya usawa.
Tusipende kuwanufaisha wanasiasa wachache wanaolipwa kufuru!
 
Ningemwona wa maana kama angekuja na hoja chanya ya kubuni na kuibua fursa zaidi za ajira ila nasikitika kwa aina hii ya wabunge kama huyu na wote wale wa kijani kufikia maendeleo tunayotamani itatuchukua miaka 100 ijayo
 
Tupunguze marupurupu ya viongozi wote, kwa kuwa mishahara yao ni mikubwa wasipewe usafiri, entertainment allowance, kodi ya nyumba na mengine mengi wawape wananchi ahueni. Kuwatoza wananchi kodi kubwa ni kuwaongezea matatizo. Ni kupunguza au kuondoa stahili zote wanazopata viongozi ndio solution
 
 
Haka kabunge huwa kanajiona kanajua sana mambo kumbe seti tupu. Magu alitukosea sana Watanzania kutujazia ngumbaru bungeni.
Si kasingle maza sugu,kazi yake bungeni kuongea pumba tupu kalisema wanaume wameishiwa nguvu za kiume...kumbe kenyewe mbususu bwawa la mtera
 
Taja platform ya Tanzania inayofanana na ebay, amazon, pia hapo hapo kwenye shipping ukiweka postcode ya Tanzania hio tax yote inapotea..kwaio wewe unalipa sababu shippong destination ni within united states...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…