Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

With a rotten system, Mwisho wa movie lazima ataachiwa huru tu. Manakumbuka Kigwangala aliwahi kutuhumiwa kumpiga mtu risasi ya mguu? Nini kiliendelea? Bashite na Sabaya wapo uraiani na kulikuwa na evidence za uhalifu hadi footage za CCTV camera. Msitarajie jipya hapo, baada ya Wiki moja hili sakata litasahaulika

Wanacheza michezo aisee
 
Huyu mccm ana elimu gani kwani mbona muoga sana kwa kesi wenzake waliuwa,kuteka kupora uhalifu hadi kupigwa biti wasiingie USA wakatulia kimya Leo wamelamba teuzi na wengine wengine wapo nje wamefutiwa kesi
 
Kazi ya shetani ni kuchinja kuua na kuahribu ukiendekeza ushirikina ipo siku utakurudi.
Ushirikina mbaya sana
 
Uoga wa kike mtu maarufu unatoroka wapi Sasa hotel,ubunge unamuachia nani sasa
 
Shida yenu mnatumia hisia zaidi lazima mahakama ipewe uthibitisho kuwa kitendo husika kilifanyika au kulikuwa na jinai sio hisia! Mahakamani hakuna kuoneana huruma kule ni ushahidi na vipengele vya sheria!
Kwani hizo ni zetu ama nyingine, huku nako yapo mafisi🤪
 
Pauline Gekul ,atajijengea heshima akijiuzuru ubunge na nyadhifa zingine,ili kupisha Uchunguzi. Hii italeta heshima kwa Chama chake na Wapiga kura wake.Mtu mwenye busura nguo ikivuka una,chutama.tukio hili limempaka matope Pauline.Sijui yeye mwenyewe analichukuliaje?
Kwa kumbukmbu zangu, ni Rais Hassan Mwinyi tu, aliyewahi kujiuzulu mapochopocho ya uongozi.
 
Huyu mccm ana elimu gani kwani mbona muoga sana kwa kesi wenzake waliuwa,kuteka kupora uhalifu hadi kupigwa biti wasiingie USA wakatulia kimya Leo wamelamba teuzi na wengine wengine wapo nje wamefutiwa kesi

Aghhhhhg!!!
 
Hili la watu kutska Pauline ashitakiwe, awekwe linanikumbusha haya:
1. Mashabiki wa simba kukomalia robertinho atuipiwe virago wakati timu inashinda kila mchezo iliyocheza
2. Wale wahuni waliosema wanataka Yesu auwawe pasi na kosa lolote.

Mbona
1. Aliyempiga risasi 30 Tundu Lissu, hampigi kelele ashitakiwe?
3. Aliyemtishia Nape kwa bastola anadunda tu mitaani, licha ya kujulikana?
 
Kauli mbiu ni ileile....
Awekewe chupa na yeye....
 
Back
Top Bottom