johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa....... Wewe utakuwa mbunge wa Nkasi kaskazi!Hangover inaweza kusababisha ukasema chochote mkuu
Hahahaaaa....... Wewe utakuwa mbunge wa Nkasi kaskazi!Hangover inaweza kusababisha ukasema chochote mkuu
Wataweza Kweli? Aaaaa Wapi! Hata WakiungaChezea sisiemu weye
Ni simu lakini, hata ikiwa smart kitochiHizo simu ni aina gani isije kuwa ni techno spark3 pro kama hii ya wife
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂My take; CHADEMA wa kuwasingizia hawapo, nani sasa kachukua!!
Maendeleo hayana vyama!
Zitarejeshwa unknowingly baadae ya kuzipekua!!Spika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe.
Source Channel ten
My take; CHADEMA wa kuwasingizia hawapo, nani sasa kachukua!!
Maendeleo hayana vyama!
Naam yaweza kuwa, ila najua wahaya wana tabia ya kuficha ficha aibu kwa kusingizia sehemu nzuri nzuri kama bungeni. 🤣 🤣Hahahaaaa....... Wewe utakuwa mbunge wa Nkasi kaskazi!
Mkuu umemalizia vzr sana wamebaki wenyewe wanaanza kutafunana sasaSpika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe.
Source Channel ten
My take; CHADEMA wa kuwasingizia hawapo, nani sasa kachukua!!
Maendeleo hayana vyama!
DaaahHizo simu ni aina gani isije kuwa ni techno spark3 pro kama hii ya wife
Mpigane sachi humo sasa mko wenyeweLiko live bwashee.
Karibu
Wagawane mojamojaHapo Hamis wa Muheza kacheza dili na Hamisi wa Manzese..
Kiboko ya kessy mropokajiHahahaaaa....... Wewe utakuwa mbunge wa Nkasi kaskazi!