johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #81
Anaandaa orodha ya viti maalumu!Vipi wapi mheshimiwa Mbowe?
Naona kakaa kimya sana au kaenda Dubai?

Huyo lazima ni mwanaccm kindakindaki nahisi ni gwajima au mrisho,wanadumisha tabia ya chama.hapa uwizi tu kuanzia sgr,bwawa la rufiji na kuraSpika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe.
Chanzo: Channel ten
My take; CHADEMA wa kuwasingizia hawapo, nani sasa kachukua!!
Maendeleo hayana vyama!
===========
NDUGAI: Naomba niwe na matangazo machache kama yafuatavyo, kuna mheshimiwa ambae kwa bahati mbaya funguo zake amezipoteza pale getini wakati wa kuingia. Tunaomba kama una funguo zisizo za kwako uzilete hapa mezani badala ya kuzirudisha kule getini ili mheshimiwa mwenzako asihangaike sana. Tuwe makini kwenye mageti tunavyopita kuhakikisha unachukua kitu kilicho chakwako tu na usichukue kisicho chakwako, inaleta usumbufu. Miwani, funguo na vitu vya namna hiyo vinapotea mara kwa mara.
Pia mheshimiwa Rweikiza hapohapo kwenye mageti humo, kuna mtu amechukua simu za Rweikiza zote mbili, kwa hiyo kama una simu sio za kwako pia tuletee meza kuu hapa ili tuweze kumrudishia mwenyewe. Unajua dunia ya leo mtu akikosa simu tena zote mbili unamchanganya kabisa. Ni bahati mbaya, mtu anakuwa amechukua kwa bahati mbaya kwa sababu simu zinafanana.
Spika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe.

Chupi na makalio.Umesahau kwamba CCM na wizi ni pua na kamasi
Chupi na makalio.
TeteOngeza sauti kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wameiba kura sasa wanaibiana simu, kweli jasiri haachi asili
Mlevi wa taifa mbona hayumo Nani Tena mlevi?Wameamka na hangover za jana mpaka wanaanza kusahau simu walipoziacha.
Bunge comedy hili as if ni kikao cha semina ya siku 3, vituko tu!
Huwa wanazizima kabla ya kuingia bungeni.Kwanini asipige ziite au kasahau namba
Kumbe Chadema ndo walikuwa wezi Sasa hawapo ndo mnaanza kusema Sasa CCM wanaibiana kwa sababu wezi chadema hawapo bungeni.Mkuu umemalizia vzr sana wamebaki wenyewe wanaanza kutafunana sasa
Spika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe.
Chanzo: Channel ten
My take; CHADEMA wa kuwasingizia hawapo, nani sasa kachukua!!
Maendeleo hayana vyama!
===========
NDUGAI: Naomba niwe na matangazo machache kama yafuatavyo, kuna mheshimiwa ambae kwa bahati mbaya funguo zake amezipoteza pale getini wakati wa kuingia. Tunaomba kama una funguo zisizo za kwako uzilete hapa mezani badala ya kuzirudisha kule getini ili mheshimiwa mwenzako asihangaike sana. Tuwe makini kwenye mageti tunavyopita kuhakikisha unachukua kitu kilicho chakwako tu na usichukue kisicho chakwako, inaleta usumbufu. Miwani, funguo na vitu vya namna hiyo vinapotea mara kwa mara.
Pia mheshimiwa Rweikiza hapohapo kwenye mageti humo, kuna mtu amechukua simu za Rweikiza zote mbili, kwa hiyo kama una simu sio za kwako pia tuletee meza kuu hapa ili tuweze kumrudishia mwenyewe. Unajua dunia ya leo mtu akikosa simu tena zote mbili unamchanganya kabisa. Ni bahati mbaya, mtu anakuwa amechukua kwa bahati mbaya kwa sababu simu zinafanana.
Kutoka uwizi wa Kura wamehamia kwenye simu, mwizi ni mwizi tuCCM wamezoea kuiba sasa wameanza kuibiana wenyewe.
Wizi wa kura hawajaridhika yameanza hadi kuabiana simu majizi hayaSpika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe.
Chanzo: Channel ten
My take; CHADEMA wa kuwasingizia hawapo, nani sasa kachukua!!
Maendeleo hayana vyama!
===========
NDUGAI: Naomba niwe na matangazo machache kama yafuatavyo, kuna mheshimiwa ambae kwa bahati mbaya funguo zake amezipoteza pale getini wakati wa kuingia. Tunaomba kama una funguo zisizo za kwako uzilete hapa mezani badala ya kuzirudisha kule getini ili mheshimiwa mwenzako asihangaike sana. Tuwe makini kwenye mageti tunavyopita kuhakikisha unachukua kitu kilicho chakwako tu na usichukue kisicho chakwako, inaleta usumbufu. Miwani, funguo na vitu vya namna hiyo vinapotea mara kwa mara.
Pia mheshimiwa Rweikiza hapohapo kwenye mageti humo, kuna mtu amechukua simu za Rweikiza zote mbili, kwa hiyo kama una simu sio za kwako pia tuletee meza kuu hapa ili tuweze kumrudishia mwenyewe. Unajua dunia ya leo mtu akikosa simu tena zote mbili unamchanganya kabisa. Ni bahati mbaya, mtu anakuwa amechukua kwa bahati mbaya kwa sababu simu zinafanana.
Fisi akiingia kwenye boma akikosa mbuzi anaweza kuchukua hata kinu aondoke nachoKutoka uwizi wa Kura wamehamia kwenye simu, mwizi ni mwizi tu
Ikulu ya wapi bwashee?Kama Balozi aliibiwa simu Ikulu itashindikana Bungeni?
Ikulu ya wapi bwashee?
Duniani ogopa Mungu na Teknolojia![]()
Balozi aibiwa simu Ikulu kwenye dhifa ya kitaifa ya sherehe za Mapinduzi
Imeibiwa na viongozi ila sio kwa ajili ya kupata simu ila kupata infowww.jamiiforums.com