Mbunge Rweikiza apotelewa na simu mbili kwenye geti la bunge

Spika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe.

Source Channel ten

My take; CHADEMA wa kuwasingizia hawapo, nani sasa kachukua!!

Maendeleo hayana vyama!

===========

NDUGAI: Naomba niwe na matangazo machache kama yafuatavyo, kuna mheshimiwa ambae kwa bahati mbaya funguo zake amezipoteza pale getini wakati wa kuingia. Tunaomba kama una funguo zisizo za kwako uzilete hapa mezani badala ya kuzirudisha kule getini ili mheshimiwa mwenzako asihangaike sana. Tuwe makini kwenye mageti tunavyopita kuhakikisha unachukua kitu kilicho chakwako tu na usichukue kisicho chakwako, inaleta usumbufu. Miwani, funguo na vitu vya namna hiyo vinapotea mara kwa mara.

Pia mheshimiwa Rweikiza hapohapo kwenye mageti humo, kuna mtu amechukua simu za Rweikiza zote mbili, kwa hiyo kama una simu sio za kwako pia tuletee meza kuu hapa ili tuweze kumrudishia mwenyewe. Unajua dunia ya leo mtu akikosa simu tena zote mbili unamchanganya kabisa. Ni bahati mbaya, mtu anakuwa amechukua kwa bahati mbaya kwa sababu simu zinafanana.
Posho zao mmeishawapa?
 
Wahaya ukute nshomile alitaja mpaka Aina ya simu kuwa ni iPhone 12 mbili zote zikiwa zimenakshiwa dhahabu na bando lililomo na special card of appreciation toka apple
 
Huu ni mwanzo tu tunangoja mengine!!!.............................
 
Spika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe.

Source Channel ten

My take; CHADEMA wa kuwasingizia hawapo, nani sasa kachukua!!

Maendeleo hayana vyama!

===========

NDUGAI: Naomba niwe na matangazo machache kama yafuatavyo, kuna mheshimiwa ambae kwa bahati mbaya funguo zake amezipoteza pale getini wakati wa kuingia. Tunaomba kama una funguo zisizo za kwako uzilete hapa mezani badala ya kuzirudisha kule getini ili mheshimiwa mwenzako asihangaike sana. Tuwe makini kwenye mageti tunavyopita kuhakikisha unachukua kitu kilicho chakwako tu na usichukue kisicho chakwako, inaleta usumbufu. Miwani, funguo na vitu vya namna hiyo vinapotea mara kwa mara.

Pia mheshimiwa Rweikiza hapohapo kwenye mageti humo, kuna mtu amechukua simu za Rweikiza zote mbili, kwa hiyo kama una simu sio za kwako pia tuletee meza kuu hapa ili tuweze kumrudishia mwenyewe. Unajua dunia ya leo mtu akikosa simu tena zote mbili unamchanganya kabisa. Ni bahati mbaya, mtu anakuwa amechukua kwa bahati mbaya kwa sababu simu zinafanana.
Itakuwa chadema tu
 
Mwizi ni mwizi hata avae suti, sasa wamenza kuibiana wao kwa wao
 
Muache mbunge aibe apunguze machungu ya posho alizokuwa anagawa kwa wajumbe
 
Back
Top Bottom