Mbunge Rweikiza apotelewa na simu mbili kwenye geti la bunge

Mbunge Rweikiza apotelewa na simu mbili kwenye geti la bunge

Kapotelewa au kaibiwa? Kama Bunge limeanza kupata Wabunge kutoka Manzese sijui wasafi unategemea nini, vibaka watupu wana kesi mpaka leo za dhurumati
 
Na bado mtaibiana hadi wame/wake...laana ya wizi itawatafuna milele!.
 
CCM siyo watu wazuri,wamekwapua kwenye sanduku la kura wameona haitoshi sasa wamepigana changa la macho wao kwa wao!
 
Kuna msemo "Nyoka huzaa nyoka" na ukipanda maharange huwezi kuvuna mbaazi. Elezea maana ya misemo hii.
 
Mbunge anatia mfukoni shilingi ngapi mpaka aibe simu mbili?

Mwizi siyo mbunge
 
mkumbuke sasa hivi bunge limebeba aina mbali mbali za watu ambao naweza kuwaita mambugira wakiwemo wenye stayle za wakina Gwajiboy, na wengine wengi ambao walipotokea bila kuvipiga msasa vile vichwa kuna siku tutasikia mtu kainamishwa kwenye ukuta wa bunge akimshukuru mtumishi.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom