Mbunge Rweikiza apotelewa na simu mbili kwenye geti la bunge

Posho zao mmeishawapa?
 
Wahaya ukute nshomile alitaja mpaka Aina ya simu kuwa ni iPhone 12 mbili zote zikiwa zimenakshiwa dhahabu na bando lililomo na special card of appreciation toka apple
 
Huu ni mwanzo tu tunangoja mengine!!!.............................
 
Itakuwa chadema tu
 
Mwizi ni mwizi hata avae suti, sasa wamenza kuibiana wao kwa wao
 
Muache mbunge aibe apunguze machungu ya posho alizokuwa anagawa kwa wajumbe
 
Wameamka na hangover za jana mpaka wanaanza kusahau simu walipoziacha.

Bunge comedy hili as if ni kikao cha semina ya siku 3, vituko tu!
Vipi wapi mheshimiwa Mbowe?
Naona kakaa kimya sana au kaenda Dubai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…