Mbunge Rweikiza apotelewa na simu mbili kwenye geti la bunge

Wacheki na shekikh Rashid gwajima au babu tale[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Huyo lazima ni mwanaccm kindakindaki nahisi ni gwajima au mrisho,wanadumisha tabia ya chama.hapa uwizi tu kuanzia sgr,bwawa la rufiji na kura
 
 

Attachments

  • VID-20201103-WA0000.mp4
    919.5 KB
Kwa jinsi ninavyojua mara nyingi ukiwa unaingia bungeni ni lazima upigwe search na si ruksa kuingia simu. Hapo huwa ni kwa wageni sijui kwa wabunge utaratibu ukoje.
 
Wameiba kura sasa wanaibiana simu, kweli jasiri haachi asili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu umemalizia vzr sana wamebaki wenyewe wanaanza kutafunana sasa
Kumbe Chadema ndo walikuwa wezi Sasa hawapo ndo mnaanza kusema Sasa CCM wanaibiana kwa sababu wezi chadema hawapo bungeni.
 


Kama Balozi aliibiwa simu Ikulu itashindikana Bungeni?
 
Wizi wa kura hawajaridhika yameanza hadi kuabiana simu majizi haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…