Mbunge Saashisha Mafue, unawakera wapiga kura wako

Mbunge Saashisha Mafue, unawakera wapiga kura wako

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Umekumbushwa tu kuwa huu ni mwaka wa tatu tangu uchaguliwe na fedha za mfuko wa jimbo unazila na hujui hatima ya waliokutuma Bungeni.

Ukumbuke 2025 sio mbali na CHADEMA tunakuangalia tu.
 
Amekula fedha za jimbo?Kwani mpokeaji huwa ni nani?Akaunti zinamowekwa fedha ni nani anazi-control? Muhasibu au wahusika wa kutoa fedha ili zitumike ni akina nani?

Huwa zinafikaje kwenye miradi?Wanagawana mikononi na kuanza matumizi? Hakuna baraza la madiwani na kamati za mipango,uchumi na fedha?

Nina maswali mengi. Tuutafute ukweli tusimsiginie kunguni mdomoni.
 
Umekumbushwa tu kuwa huu ni mwaka wa tatu tangu uchaguliwe na fedha za mfuko wa jimbo unazila na hujui hatima ya waliokutuma Bungeni.

Ukumbuke 2025 sio mbali na CHADEMA tunakuangalia tu.
 
Back
Top Bottom