peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mjema atakujibu hili swali soonSaashisha Mafuwe ni Mbunge bora sana, na atakuwa Mbunge wa hai hadi 2040
Mwambieni Edmund Rutaraka ubunge wa hai haupatikani Kwa namna hiiMjema atakujibu hili swali soon
Umekumbushwa tu kuwa huu ni mwaka wa tatu tangu uchaguliwe na fedha za mfuko wa jimbo unazila na hujui hatima ya waliokutuma Bungeni.
Ukumbuke 2025 sio mbali na CHADEMA tunakuangalia tu.