Pre GE2025 Mbunge Santiel Kirumba: Kila laini ikatwe Tsh. 50 tujenge barabara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
IPO siku Tutawatoo....ZAA USHURU na wao na kizazi chao
 
Angalia ulivyo shallow kwenye taarifa!!
Tra ndio mkusanyaji wa hiyo kodi maana ndiye anayejua mafuta yameingizwa kiasi gani, huko Bot wanapokea fedha kwa mujibu tu wa data za Lita za mafuta yaliyoingia nchini
Kwanini nakuona wewe ni mjinga? Maana umekuja hapa na fixed amount kabisa!! Bil 800!! Kana kwamba volume ya mafuta inayoingizwa ni constant kila mwaka!.
 
Kila mbunge akatwe 20mln kwenye vinyoosha mgongo vyao wanavyotarajia karibuni tujenge barabara, tuanzishe mchakato wa katiba mpya,tununue basi za mwendohasi,tumalizie barabara za mwendokasi na sgrπŸ€—
Mkuu edit hapo... Malizia na "Hapo vipi?!"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
hizi zaa mafuta hazitoshi? Serikali vihiyo, mnakula rushwa kwa wafanyabiashara na kuwatwisha mzigo wa kodi wananchi.

Huko majimboni tuwaulize wabunge, serikali haina akili kupata mapato zaidi ya kuwatoza wananchi?
 
Inangia automatically kwenye lisiti inaonekana ,hiyo pesa Iko reinforced hakuna Cha TRA Wala nani..
Acha utoto pesa Iko around 800s bln,ongezeko sio zaidi ya 10bln Kwa mwaka so ni sahihi kabisa Kutaja hiyo figure.

Hoja ya msingi ni pesa haitoshi
 
Inangia automatically kwenye lisiti inaonekana ,hiyo pesa Iko reinforced hakuna Cha TRA Wala nani..
Acha utoto pesa Iko around 800s bln,ongezeko sio zaidi ya 10bln Kwa mwaka so ni sahihi kabisa Kutaja hiyo figure.

Hoja ya msingi ni pesa haitoshi
Inaingia automatically bila kujua tax base au siyo?
Imekuwa reinforced hewani tu kwenye risiti bila kuwa na data base ya mafuta yaliyoingia?, unaelewa kazi ya zile flow meter pale kurasini and what they mean kwenye taxi collection?
Road fund inakwatwa shilingi 313 kwa kila Lita inayouzwa, unalijua Hilo? Au unadhan hiyo bil 800 ni kama gawio la hisa tu
Naona nakufundisha tu , wala Sidhani kama Uko kwenye uwezo wa kuelewa.
Kadiri tunavoendelea naona unazidi kuonesha jinsi ulivyo mweupe kwenye uelewa wa mambo, bila Tra hiyo kodi haikusanyiki.
 
kulipia tozo au kodi kubwa kwaajili ya maendeleo ni jambo la kawaida kwa nchi yoyote inayoendelea.. Tatizo ni kwamba unaiamini serikali yako kutumia hayo makusanyo kwa uadilifu na yakafanye kazi husika? Jibu ni hapana.
 
Hii nchi inahitaji mabadiliko ya haraka ya kisiasa. Bila kufanya hivyo, wananchi walio wengi watageuka kuwa vichaa. Maana siyo kwa kupandisha presha huku.
 
naona kila mtu sasa anabamwa mbavu sasa hapo ndio wataongea lugha moja na kufanya maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…