Mbunge wa Gairo mh Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini.
Shabiby amesema fee hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS
Shabiby kasema kazi hiyo wamepewa kampuni binafsi ambayo inatupiga haswa.
Waziri wa nishati mh Kalemani alitoa taarifa kwamba mkataba wa kampuni hiyo ya kifisadi ulishasitishwa lakini mh Shabiby aliikataa taarifa hiyo na kusema hata jana aliiwaona watendaji wa kampuni hiyo wakiende!ea na kazi hiyo ya kitapeli
Source: ITV habari
Ramadhan Kareem!