kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
hata wewe mtetez wa ccm? au kwasababu hakuwa ile dini pendwa?Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata wewe mtetez wa ccm? au kwasababu hakuwa ile dini pendwa?Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Tuliambiwa mikataba ya kifisadi yote iliisha alipoingia JPM. Kumbee
labda hii ndio sababu ya kumfukuza yule DG wa EWURA kipindi kile ili aweke mtu wake.Kalemani ni Mbunge wa chato na Watu wa chato wanajulikana kwa upigaji wa pesa za walipa kodi? Kampuni ya nani hii yenye huu mkataba!? Usikute ni kampuni ya Jiwe? Na huu mkataba umesitishwa lini? Details ziwekwe hadharani tangu mwanzo wa mkataba hadi kusitishwa kwake.
Hivi unafikiri kwanini kitumbua cha bulldozer Maja kilitaka kuingia mchanga kama sio pekuapekua yake bandarini?Ufisadi wa kutisha wa Magufuli wazidi kuanikwa
Kama Shujaa wa Mazezeta angekuwepo asingeruhusu haya yaibuliwe
Hii kampuni inahusikaje na JPM? Alikuwepo 2012?Ufisadi wa kutisha wa Magufuli wazidi kuanikwa
Kama Shujaa wa Mazezeta angekuwepo asingeruhusu haya yaibuliwe
Upo mama yanguTutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
KumbeTutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Hakuiona au aliibarikiHii kampuni inahusikaje na JPM? Alikuwepo 2012?
Ni kuweka vinasaba na sio rangi, jibu la kalemani lilinitia mashaka sana kwanini alikimbilia haraka kusema mkataba wa kampuni hiyo umesitishwa? Kwanini sasa? Je alijua kuwa kweli ulikuwa ni wa kifisadi? Hii issue haijakaa sawa pia Shabby alisema ana majina ya wabunge waliopewa rushwa na huyo agent ili EWURA wampe kandarasi Agent huyo.
Huna lolote deen ndo ilikuweka pembeni acha unafiki.Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Pole Madam.Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Si ndio tuliambiwa awamu ya magufuli ilikomesha ufisadi sasa kama siyo yeye aliyekua anachota hayo mabilioni kila mwezi atakuwa nani?Nchii hii watu wanakula sana keki.......kila mtu akipata nafasi anapiga tu, maana haina mifumo mizuri
Kwani utaratibu wa kuweka rangi kwenye petrol umeanza March 18?Lakini Shabiby angeeleza ili watanzania wajue kama kampuni hiyo ya kitapeli ilikuepo tangia enzi za MWENDAZAKE au baada yake. Kama ilikua ikitapeli tangu wakati huo, basi hilo nalo ni kaburi lingine
labda hii ndio sababu ya kumfukuza yule DG wa EWURA kipindi kile ili aweke mtu wake.
Mbunge wa Gairo mh Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini.
Shabiby amesema fee hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS
Shabiby kasema kazi hiyo wamepewa kampuni binafsi ambayo inatupiga haswa.
Waziri wa nishati mh Kalemani alitoa taarifa kwamba mkataba wa kampuni hiyo ya kifisadi ulishasitishwa lakini mh Shabiby aliikataa taarifa hiyo na kusema hata jana aliiwaona watendaji wa kampuni hiyo wakiendelea na kazi hiyo ya kitapeli
Source: ITV habari
Ramadhan Kareem!
Ukisikiliza clip ya shabiby wakati anaongea Bungeni,utagundua ni vigogo wa ngazi za juu serikalini ndio wanahusika maana wanajiamini kiasi kwamba wanatishia hata watu waliokuwa wanajaribu ku-expose huu wizi.Mama yetu mpendwa, wembe uleule ulio mung'oa Kigogo wa Bandari!!
Waziri Kalemani binamu na mwendazake hatumhitaji happy Wizarani....tumbua mama tumbua!!
Tuondolee MAJIPU yaloachwa na mwendazake. Very likely huu ulikuwa ndo UPIGAJI WA JIWE kwa kupitia ndugu zake alokuwa amewajaza kwene Taasisi nyeti...!!!
Tutaelewana tu.....!!!
Bwasheee tulikubaliana kwamba JIWE alimaliza Ufisadi.
Du afadhari dada faiza umerudiTutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.