Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Hata wakisitisha itakuwa ni story tu na itaishia kimya kimya no adhabu na kesi ikienda mbele wataambiwa wamlipe DDP awaachie... siasa ni upumbavu... Raia Pigeni tu kazi mtafute kipato chenu cha kila siku... hao wana siasa hawanaga Mungu...
 
CCM Ni Chama Cha Mafisadi.
Huo wizi ulikuwa na baraka zote za Meko
 
Kalemani ni Mbunge wa chato na Watu wa chato wanajulikana kwa upigaji wa pesa za walipa kodi. Kampuni ya nani hii yenye huu mkataba!? Usikute ni kampuni ya Jiwe. Na huu mkataba umesitishwa lini? Details ziwekwe hadharani tangu mwanzo wa mkataba hadi kusitishwa kwake.
 
Kalemani kweli unatetea ufisadi!Jitathmini.
 
Lakini Shabiby angeeleza ili watanzania wajue kama kampuni hiyo ya kitapeli ilikuepo tangia enzi za MWENDAZAKE au baada yake. Kama ilikua ikitapeli tangu wakati huo, basi hilo nalo ni kaburi lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…