Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.


Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
hata wewe mtetez wa ccm? au kwasababu hakuwa ile dini pendwa?
 
labda hii ndio sababu ya kumfukuza yule DG wa EWURA kipindi kile ili aweke mtu wake.
 
Ufisadi wa kutisha wa Magufuli wazidi kuanikwa

Kama Shujaa wa Mazezeta angekuwepo asingeruhusu haya yaibuliwe
Hivi unafikiri kwanini kitumbua cha bulldozer Maja kilitaka kuingia mchanga kama sio pekuapekua yake bandarini?
👊 😎✌️💥
 
Na kwainavyoonekana magufuli anahusika kwenye huu wizi.
 
Moderator JamiiForums tunaomba hii clip kuweka hapo juu kwenye huu uzi.
 
Nchii hii watu wanakula sana keki.......kila mtu akipata nafasi anapiga tu, maana haina mifumo mizuri
Si ndio tuliambiwa awamu ya magufuli ilikomesha ufisadi sasa kama siyo yeye aliyekua anachota hayo mabilioni kila mwezi atakuwa nani?
 
Lakini Shabiby angeeleza ili watanzania wajue kama kampuni hiyo ya kitapeli ilikuepo tangia enzi za MWENDAZAKE au baada yake. Kama ilikua ikitapeli tangu wakati huo, basi hilo nalo ni kaburi lingine
Kwani utaratibu wa kuweka rangi kwenye petrol umeanza March 18?
 
Naona habari ijakamilika kabisa,ungesema jina la kampuni na ili sign mkataba na Ewura lini?
 

Mama yetu mpendwa, wembe uleule ulio mung'oa Kigogo wa Bandari!!
Waziri Kalemani binamu wa mwendazake hatumhitaji hapo Wizarani....tumbua mama tumbua!!

Tuondolee MAJIPU yaloachwa na mwendazake. Very likely huu ulikuwa ndo UPIGAJI WA JIWE kwa kupitia ndugu zake alokuwa amewajaza kwene Taasisi nyeti...!!!

Tutaelewana tu.....!!!
 
Ukisikiliza clip ya shabiby wakati anaongea Bungeni,utagundua ni vigogo wa ngazi za juu serikalini ndio wanahusika maana wanajiamini kiasi kwamba wanatishia hata watu waliokuwa wanajaribu ku-expose huu wizi.
 
Bwasheee tulikubaliana kwamba JIWE alimaliza Ufisadi.

Jiwe hakumaliza Ufisadi baali alianzisha Ufisadi wa kisayansi na wale waliojaribu kuvuruga hiyo sayansi yake waliishia aidha KUSHAMBULIWA KWA RISASI AU KUPOTEZWA NA WATU WASOJULIKANA!!!

Mbona tutasikia mengi....!! Naona Kama CCM wameanza kupoteana sijui Kama titafika 2025...!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…