Mbunge Sigrada: Kufeli Shule ya Sheria ni mkakati wa kisiasa wa kutokuzalisha mawakili wengi

Mbunge Sigrada: Kufeli Shule ya Sheria ni mkakati wa kisiasa wa kutokuzalisha mawakili wengi

Kwenye kichwa chake achievement ni swala rahisi sana kwenye hii dunia (kutokana na urahisi wa mwenyekiti wake na yeye kufika hapo walipo without merit).

You can’t blame her; msingi wa fikra zake, considering the facts namna CCM ilivyorahisha jitihada za kukwaa nafasi za uongozi.

Sad, but its the new reality; kuna wapuuzi wenzake humu watakaodhani huyo taahira kaongea jambo la maana.

Jeez
 
Pumba tupu! Fanya mtihani inavyotakiwa, uone kama utafelishwa. Kulishafanywa uchunguzi kuhusu kufeli watu wengi Law school. Matokso ya uchunguzi ilibaini ni watu wanafeli kwa uwezo wao mdogo.

Law School si chuoni kwa kawaida tulipozoea hadi assignment unacopy. Kule kuna hadi mtihani wa kuulizwa swali kwa mdomo na unatakiwa kulijibu kwa mdomo si kuandika.

Huo uwakili kuna watu hadi wanarudia mara tatu ndiyo wanaupsta pale
 
Pumba tupu! Fanya mtihani inavyotakiwa, uone kama utafelishwa. Kulishafanywa uchunguzi kuhusu kufeli watu wengi Law school. Matokso ya uchunguzi ilibaini ni watu wanafeli kwa uwezo wao mdogo.

Law School si chuoni kwa kawaida tulipozoea hadi assignment unacopy. Kule kuna hadi mtihani mtihani wa kuulizwa swali kwa mdomo na unatakiaa kulijibu kwa mdomo si kuandika.

Huo uwakili kuna watu hadi wanarudia mara tstu ndiyo wanaupsta pale
Lazima kichwa kiwe kimejaa madini.
 
Hajui anachoongea huyo dada! Kila nikimsikiliza hapo nyuma niliona Kuna kitu hakipo sawa kwenye thinking yake
Why? Kwanini unafikiria hivyo? It has happened so many times wslimu wa University kuwafelisha wanafunzi. Umepitia University?
 
Kwenye kichwa chake achievement ni swala rahisi sana kwenye hii dunia (kutokana na urahisi wa mwenyekiti wake na yeye kufika hapo walipo without merit).

You can’t blame her msingi wa fikra zake, considering the facts namna CCM ilivyorahisha jitihada za kukwaa nafasi za uongozi.

Sad, but its the new reality; kuna wapuuzi wenzake humu watakaodhani huyo taahira kaongea jambo la maana.

Jeez
Kutukana si kujenga hoja....
 
Kutukana si kujenga hoja....
If anything hawa supposedly prominent lawyers wetu (without naming names) uelewa wao ni
shida.

Leo unataka mchakato wa kuwa uwanasheria uwe raisi zaidi.

Kibongo-bongo ni ngumu sana watu kuamini Shivji na Lissu uelewa wao wa contract law ni dhaifu.

Aina maana kwenye IGA ya DPW hatujapigwa.
 
Huyo ameshajua kuna wajinga wanamfuatilia.
Mimi kila siku natamani wafanye amendment ili kuboresha sifa za mtu kuwa mbunge kwakweli Kuna waheshimiwa wakiongea unaona kabisa Kuna kitu hakipo sawa., wanakosa kabisa hoja ambazo ni constructive kwa jamii.
 
If anything hawa supposedly prominent lawyers wetu (without naming names) uelewa wao ni
shida.

Leo unataka mchakato wa kuwa uwanasheria uwe raisi zaidi.

Kibongo-bongo ni ngumu sana watu kuamini Shivji na Lissu uelewa wao wa contract law ni dhaifu.

Aina maana kwenye IGA ya DPW hatujapigwa.
Usimfananishe Shivji na Lissu
Hao watu ni tofauti kabisa, lissu mfananishe na madeleka na Shivji mfananishe na Prof. Safari sijui kama unawafahamu
 
Back
Top Bottom