Mbunge Sigrada: Kufeli Shule ya Sheria ni mkakati wa kisiasa wa kutokuzalisha mawakili wengi

Mbunge Sigrada: Kufeli Shule ya Sheria ni mkakati wa kisiasa wa kutokuzalisha mawakili wengi

I know I was ambitious challenging a wholesome on legal contract.

But then I know Shivji na Lissu hawana uelewa wa hii topic,

Trust me.

Mimi sio poa kabisa
Kwa kile alichofanya shivji kwa hii professional huwez mlinganisha na Lissu mkuu
 
Kwa kile alichofanya shivji kwa hii professional huwez mlinganisha na Lissu mkuu
I don’t even know, what we are talking about anymore.

Otherwise Lissu and Shivji are prominent lawyers; it depends on the topic.

But I know they have limitations on ‘contract law ‘
 
Pumba tupu! Fanya mtihani inavyotakiwa, uone kama utafelishwa. Kulishafanywa uchunguzi kuhusu kufeli watu wengi Law school. Matokso ya uchunguzi ilibaini ni watu wanafeli kwa uwezo wao mdogo.

Law School si chuoni kwa kawaida tulipozoea hadi assignment unacopy. Kule kuna hadi mtihani mtihani wa kuulizwa swali kwa mdomo na unatakiaa kulijibu kwa mdomo si kuandika.

Huo uwakili kuna watu hadi wanarudia mara tstu ndiyo wanaupsta pale
Amuulize Pascal Mayalla alisota mara ngapi hapo Law School
 
Pumba tupu! Fanya mtihani inavyotakiwa, uone kama utafelishwa. Kulishafanywa uchunguzi kuhusu kufeli watu wengi Law school. Matokso ya uchunguzi ilibaini ni watu wanafeli kwa uwezo wao mdogo.

Law School si chuoni kwa kawaida tulipozoea hadi assignment unacopy. Kule kuna hadi mtihani mtihani wa kuulizwa swali kwa mdomo na unatakiaa kulijibu kwa mdomo si kuandika.

Huo uwakili kuna watu hadi wanarudia mara tstu ndiyo wanaupsta pale
Hata mauaji ya Oktoba 25 uchunguzi umefanyika na ripoti imetoka kuwa waandamanaji walilipwa, na pia waliouawa ni 518 tu.
 
Mbunge Sigrada: ‘Watu kufeli Shule ya Sheria Tanzania ni mkakati wa kisiasa wa kutokuzalisha mawakili wengi
View attachment 3621832

mimi nafikiri tatizo nikuruhusu kila mwenye degree ya sheria kufanya mtihani wa uwakili
Kama wangeweka tu sheria kwa mfano; wanaotakiwa kufanya huo mtihani ni wale wenye 1st upper class
ambao kwa hizo kozi nyepesi wapo wengi tu; mbona hizi kelele hazingekuwepo?
Badala ya watu pengine 500 kufanya mtihani, wangefanya watu pengine 60; matokeo yakitoka ungeweza kuona pengine 56 wamefaulu, hizo kelele zoote hazingekuwepo......
KUNA KAZI KAMA UDACTARI WA WATU, UWAKILI nk, ZINAHITAJI WATU VERY COMPETENT, NA SIO BORA MADACTARI/MAWAKILI.....
 
I know I was ambitious challenging them scholars wholesomely.

But then I know Shivji na Lissu hawana uelewa wa maswala ya ‘contract law’ trust me.
Kuna kujua sheria kwa ujumla na kubobea katika nyanja mojawapo. Ndio maana mfano kuna watu criminal lawyers. Huwezi kuwa master wa kila kitu.
 
Kama kuna wanaofaulu na wanaofeli..hoja yake ni mfilisi.
 
Why? Kwanini unafikiria hivyo? It has happened so many times wslimu wa University kuwafelisha wanafunzi. Umepitia University?
Retired
Una point hapo, huyo mama kuna ukweli kiasi upo, hasa kama umefanya reserach internationally, na hasa ukiwa umesoma Chuo cha Tanzania na baadaye ukasome Magharibi au Mashariki ya mbali.
Graduation ya madaktari Mashariki ya mbali na hata ulaya ni kubwa sana. Darasa wanamaliza zaidi ya 50%.

Halafu nimeona hata wale ambao hawajiwezi hapa wakienda west au East wana-graduate. Nawajua wazanzibar wengi hapa walikua failures lakini wameshine Urusi, China, Ulaya hata North America.

Vyuo vyetu vina nini?
 
Sasa Mkuu unatakiwa ujue si kila mmoja ana mtazamo wa kisiasa kwenye suala hili . Tujadili hali ilivyo Law school na wahitimu wake
Mkuu, kujadili hilo inahitaji reasoning sana. Ikiwa unaamini ripoti ya Dk. Mwakyembe kwa Law School bila shaka unaamini pia ripoti ya Jaji Chande kwa mauaji ya Oktoba 25.

Hao wawili wote ni wanasheria nguli nchini, mmoja akiwa amewahi kuhudumu kama Waziri wa Sheria na Katiba, mwingine kama Jaji Mkuu wa Tanzania.
 
Retired
Una point hapo, huyo mama kuna ukweli kiasi upo, hasa kama umefanya reserach internationally, na hasa ukiwa umesoma Chuo cha Tanzania na baadaye ukasome Magharibi au Mashariki ya mbali.
Graduation ya madaktari Mashariki ya mbali na hata ulaya ni kubwa sana. Darasa wanamaliza zaidi ya 50%.

Halafu nimeona hata wale ambao hawajiwezi hapa wakienda west au East wana-graduate. Nawajua wazanzibar wengi hapa walikua failures lakini wameshine Urusi, China, Ulaya hata North America.

Vyuo vyetu vina nini?
Nimesoma both in the West and East. Failure rate nchi hizo ni ndogo sana au haipo na wanatoa watu wenye uwezo mkubwa wa kile walichokisomea.
Hapa Prof / Lecturer anajivunia kuwafelisha wanafunzi. Nimesoma hapa nina ukweli usio na mashaka.
 
Back
Top Bottom