Mbunge Sigrada: Nature ya wasema ukweli nchi hii wanateseka, ukitaka kuteseka nchi hii wewe sema ukweli

Hana haja ya kuwa.mpole kwani ni kuwaps nguvu hawa wauaji na wateksji
 
Tungepata kama hawa kumi wangeibua hoja bungeni, tatizo kule wanaume wazima ni ndio mzee
 
Ubunge wenyewe anepewa na hao maccm! Akijifanya mjuaji watamuondoa kwa zengwe
 
Kesi za uhaini na ugaidi ni kwaajili ya wasema kweli na wapenda maendeleo pamoja na mabadiliko huku machawa wakineemeka na kuvimbiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…