bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,894
- 947
Ni kama babu yenu mchonga meno alivomuuzulu Aboud jumbeMakamu wa rais ameuzuliwa na Wazanzibari! Nyerere alikuwa anafikiria nini kuunda muungano wa namna hii? Aidha uwe muungano wa kweli wa nchi Moja, au mipaka izingatiwe. Haiwezekani mambo kiholela holela tu. Mtanganyika hawezi kumwuzulu hata Sheha Zanzibar!