Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi

Dogo hajui, aliyempa yule kile kiti ndie huyo huyo aliyenyuma ya huyo Yuda!, zipo taarifa kuwa the Don amewekwa pembeni!, hawawekeki, figisu zikizidi, mtu anatangulizwa, kisha Yuda kukalia kiti, kama nilivyoeleza hapa Japo Kuna Vitu Vinatokea Kwa Kudra Tuu za Mwenyezi Mungu, Je Unaamini Kuna Watu Wana Powers za Kumkudrisha Mwenyeezi Mungu?, Amini Usiamini, Wapo!
P
 
Kila utawala unakuwaga na rogue elements kama huyu. Ila hawa wa maza ni wa kuwa nao makini zaidi. Wanakutoa roho faster. Vice president awe makini, japo nasikia na yeye ni mcheza faulo za gizani mzuri sana.
Sura ya nchimbi, unaona Kuna boya hapo? bro huyo jamaa, umeanza kumsikia Leo? Hakuna mtu anamuogopa nchimbi kama mwijaku alitaka kuleta mazoea kwenye iftar gala wewe, Ali katwa jicho Hilo, bro hao achana nao watajuana wenyewe wamekutana wote watabe.
 

hivi kuna muslim yoyote mkubwa keshawahi kumalizwa? sijawahi kusikia hata siku moja, na sasa wakirudi ktk huko huko kwa putin sumu ni kama zote …
 
Hii habari ina ukweli naskia Don kawekwa pembeni kamwambia unaniaribia hii nimeipata leo viunga vya dodoma wewe jamaa unakuaga na za ndani kabisa salute mkuu
 
Hii habari ina ukweli naskia Don kawekwa pembeni kamwambia unaniaribia hii nimeipata leo viunga vya dodoma wewe jamaa unakuaga na za ndani kabisa salute mkuu
Its true!, ila kuna vitu huwezi kufanya!,
Ni the Don ndiye aliyecheza ile game yeye akaingia!
Ni the Don aliyefadhili ile trip ya Filamu ya Royal Tour1
Ni the Don aliyefadhili Expo Dubai!.
Ziara zote za nje, ni the Don ndie anabeba fuko la hela for for any incidental!.
Kama ni kweli ni the Don ndie aliyemsafishia njia, akionekana ni kiwingu, njia itasafishwa tena!.
P
 
Nimeshamjua the don sasa
Kumbe ex MP wa igunga😁
 
Sisi nikuangalia tu no way na kuomba Mungu atupe umri mrefu sana
 
Familia ambao hawataki "mzigo" serikalini imemwagiza aseme hayo.

Hapa maanisha familia iliyo mlrea yuda kisiasa
 
Makonda alielekwa nje wapi?
 
Mkuu P wewe unafikiri ni nini hatma ya hili sakata? Je kwa upande utakaoibuka mshindi watanufaika kwa lolote? Je kwa upande wa Taifa kuna manufaa yeyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…