Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
pingamizi linaweza kuwekwa hata siku ya ndoa.
 

kumbe hata ugonjwa kasingizia mie leo nimeiona kwenye mwananchi kama sikosei

nikawaza hii ndoa ya mamilion kitu chali
 
Mkuu matumbo hapo kwenye hizo sababu wanazo sema za sakramenti si za msingi
Kwa sababu kulikuwa kwanza na muda wa pingamizi kwanini huo muda haukutumiwa kuleta hayo yote? Na walipo kuwa wanaenda kwenye mafunzo ya ndoa kwa nini paroko alikuwa ana waandaa watu hasiyo jua kama wamepata sakramenti au lah?huu ni udhaifu wa paroko!
Pia sababu ya kusema amezaa nje ya ndoa haiwezi kubatilisha ndoa au kuzuia ndoa hiyo ni sababu ya kijinga!
Kuna sababu ambazo zinaweza sababisha ndoa yake hisifungwe mfano kama hitathibitika pasi shaka kuwa alishafunga ndoa na bado haijavunjwa kisheria!
 
Last edited by a moderator:
Aha dah nikajua umetingwa na majukumu binamu, aya bhana si tupo huku kwanza, tunajinoa kwanza

Binamu we endelea kutupa ubuyu

niwekee pic ya huyo handsome tapeli wa mapenzi aliemkimbia mheshimiwa viti maalum
 
kumbe hata ugonjwa kasingizia mie leo nimeiona kwenye mwananchi kama sikosei

nikawaza hii ndoa ya mamilion kitu chali

Hakuna cha pressure kushuka wala nini,Bwana Harusi majuzi hapatikani kwenye simu,alipopatikana akampa live kuwa hayuko tayari kufunga ndoa,ndio mpango ukasukwa wa yeye kwenda Hospital kusingizia ni mgonjwa,lakini familia ilishajua siku 4 kabla kuwa mambo si mambo tena.
 
Laaana tuuu ndoa ya MTU iheshimiwe
Loooo
 
qn of sheba

Ni wazi huyu paroko ana interest kwenye hili swala maa kwenye mafundisho ya ndoa lazima vyeti muhimu ka hivyo viletwe na lazima waulizwe,
Haiwezekani siku zote hizo alija tatuliwa na kimsingi hilo si pingamizi maana kuna uwezekano kupewa hiyo sakrameti siku hiyo hiyo ya kufunga ndoa.
Paroko hana hoja za msingi na ameonesha wazi udhaifu wake maana
Yeye alitakiwa kuhakisha mafundisho ya sakramenti yana kwenda sambamba na mafundisho ya ndoa!
 
Last edited by a moderator:
pingamizi linaweza kuwekwa hata siku ya ndoa.

Ndio linaweza, ila nauliza issue ya cheti cha ubatizo siku zote hizo walikuwa wapi wakati vinapokelewa wakati wa kujiandikisha then mnapewa go ahead kuitangaza kanisani. Na kama hakuwa nacho inamaana hakubatizwa si wangempa mafundisho ya ukatekumeni ili abatizwe kwanza.
 
sina cha kuchangia hapo but marriage lazima steps zote zifatwe. tuwekeeni picha ya huyo tapeli tusaidie upelelezi
 

Yeah hapo ndio nime doubt wqliandikishwaje ndoa bila hivyo vyeti wakati RC hata komunio kama hauna cheti cha ubatizo huandikishwi sembuse harusi..
Na kama hakuwa nacho kabisa na hakubatizwa si angebatizwa kwanza, then siku ya harusi yake akapewa kipaimara.
 
Last edited by a moderator:
Binamu we endelea kutupa ubuyu

niwekee pic ya huyo handsome tapeli wa mapenzi aliemkimbia mheshimiwa viti maalum
NDO huyu binamu, ila ukimuona tu uson kakaa ki ujanja ujanja, yaan vicky simpatiii anavyoharisha uko
 

Attachments

  • 1400949608249.jpg
    100.6 KB · Views: 786
basi akae tu na ubunge wake ndoa imeingia ruba mechi za hapa na pale hawezi kukosa.
Mkuu umeua. Halafu anaikimbiza 70 hivyo nguvu za mtungi hola. Huyu dada alipoteza step alipoangukia mkononi mwa handsome. Sema kamchongea mipango ya hela sana.
 
Mbona sielewi hii mada? Itakuwaje kuwe na mipango ya arusi ya mtu mashuhuri kama huyu halafu mambo yaende kimya kimya. Mleta mada kumbuka leo siyo April mosi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…