Maskini Vicky..,aje kwangu niko singo
umetumwa kusoma story nzima stupid african...
Acha matusi wewe mama
Kwan c ana watoto 3 huyu
unajuaje km kachimbwa mkwala ndo mana kala kona.
vasco da gama anasingiziwa tu, usikae mbali na shigongo mbivu na mbichi zitajulika tu.
Don't argue with a fools because they will drags you down to their level and beat you with experience.Let's go n soon u reach to your orgasim..lol
Don't argue with a fools because they will drags you down to their level and beat you by experience.
ukiusubili umbea hapa utachelewa, kwa mara ya kwanza nitatembelea website ya global kesho jumatatu na kusoma soft copy ya ijumaa wikienda.Mi nimekaa mkao wa kula nasubir
ukiusubili umbea hapa utachelewa, kwa mara ya kwanza nitatembelea website ya global kesho jumatatu na kusoma soft copy ya ijumaa wikienda.
teh tehe teheeeh.....you are really a stupid person,,,,,never underestimate the power of stupid people in large group .
Wanawake na maendeleo
So What Do U Want? IDIOT .
Uckute hiyo mimba ni sababu imewekwa ili mume mtarajiwa arudishe mizimuKwa Kanisa Katoliki kikwazo pekee, ambacho kwa kweli hakitenguliwi isipokuwa kwa kifo, ni kuwa na ndoa nyingine. Kama aliwahi kufunga ndoa na mmojawapo wa hao wanaume watatu (au mwingine yeyote) na mwenzake angali hai, na Kanisa likajulishwa, hapo ameula wa chuya. The best kwake ni kubadili dini ili aweze kufikia matarajio yake ya kuolewa tena.
Ila hao wanaume nao ni washenzi, kwani kuzaa na mwanamke ndio iwe sababu ya kumuwekea pingamizi? Huu ni ujinga uliopitwa na wakati. Hakuna sababu ya kumharibia dada wa watu maisha simply kwa kuwa umezaa naye au umemjengea nyumba au kumnunulia magari.
Naye huyo Vicky ana matatizo. Kwanza kuzaazaa ovyo (watoto wa3!); huyu maadili yake ni machafu. Wanasema kosa sio kosa bali kulirudia. Pili, kama alishafanya kosa mbwembwe zote hizo za nini? Eti harusi ya m.96, so what? Siku hizi hata Ulaya na Marekani wenye hela zao na umaarufu wa kupindukia hawafanyi mbwembwe za kijinga hivyo. Issues zinafanywa kimya kimya bila kustua waliolala. Eti ana mimba ndio inayomletea matatizo! Misifa mingine ya kijinga, mimba kaanza kuwa nayo yeye?
Mtu alinusurika kwenda kupiga story na akina Papi Kocha na Nguza Vicking..... Its painful story. Shukuru Mungu kwa kuKunusuru. Segerea noma mzee wetu amesahau hata kuongea kikongoman..... Chakula ya muzee ilikuwa inajitafutia uhuru, uhuru umeota mbawa. Sad stories always cant be forgotten that easily..... MV 96M has been sunk lol.