Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Mtu alinusurika kwenda kupiga story na akina Papi Kocha na Nguza Vicking..... Its painful story. Shukuru Mungu kwa kuKunusuru. Segerea noma mzee wetu amesahau hata kuongea kikongoman..... Chakula ya muzee ilikuwa inajitafutia uhuru, uhuru umeota mbawa. Sad stories always cant be forgotten that easily..... MV 96M has been sunk lol.
 
Maskini Vicky..,aje kwangu niko singo

Unabip Segerea muzee....ohoo....hutapata hata nafasi ya kuingia humu kwa Great Thinkers.... And U will never dare to talk freely...... Watch out......hahahaha....
 
ukiusubili umbea hapa utachelewa, kwa mara ya kwanza nitatembelea website ya global kesho jumatatu na kusoma soft copy ya ijumaa wikienda.

Hahahahha... thanks Sana itabidi niufuate huko huko...dah
 
Kwa Kanisa Katoliki kikwazo pekee, ambacho kwa kweli hakitenguliwi isipokuwa kwa kifo, ni kuwa na ndoa nyingine. Kama aliwahi kufunga ndoa na mmojawapo wa hao wanaume watatu (au mwingine yeyote) na mwenzake angali hai, na Kanisa likajulishwa, hapo ameula wa chuya. The best kwake ni kubadili dini ili aweze kufikia matarajio yake ya kuolewa tena.

Ila hao wanaume nao ni washenzi, kwani kuzaa na mwanamke ndio iwe sababu ya kumuwekea pingamizi? Huu ni ujinga uliopitwa na wakati. Hakuna sababu ya kumharibia dada wa watu maisha simply kwa kuwa umezaa naye au umemjengea nyumba au kumnunulia magari.

Naye huyo Vicky ana matatizo. Kwanza kuzaazaa ovyo (watoto wa3!); huyu maadili yake ni machafu. Wanasema kosa sio kosa bali kulirudia. Pili, kama alishafanya kosa mbwembwe zote hizo za nini? Eti harusi ya m.96, so what? Siku hizi hata Ulaya na Marekani wenye hela zao na umaarufu wa kupindukia hawafanyi mbwembwe za kijinga hivyo. Issues zinafanywa kimya kimya bila kustua waliolala. Eti ana mimba ndio inayomletea matatizo! Misifa mingine ya kijinga, mimba kaanza kuwa nayo yeye?
Uckute hiyo mimba ni sababu imewekwa ili mume mtarajiwa arudishe mizimu
 
Mtu alinusurika kwenda kupiga story na akina Papi Kocha na Nguza Vicking..... Its painful story. Shukuru Mungu kwa kuKunusuru. Segerea noma mzee wetu amesahau hata kuongea kikongoman..... Chakula ya muzee ilikuwa inajitafutia uhuru, uhuru umeota mbawa. Sad stories always cant be forgotten that easily..... MV 96M has been sunk lol.

haahaaaaaaaaaaa!
 
Hii kitu iko very serious....pole yake miss kamata
 
".....2008 hadi mwanzoni mwa 2010. Nikiwa nafanya post doc Glasgow, nilijikuta ninamahusiano mabaya na Vicky K. Yes alikuwa Southampton Solent University akifanya Masters ambayo alifail. Kila Wiki alikuwa akija Glasgow. Nilimweleza nimeowa hapa tunapashana moto. Bint alichanganyikiwa mno ... mara kadhaa Kikwete alimpigia simu tumemchezea sana raisi ndiye aliyelipa fees. Mara nyingi tulimweka kwa spika. Alirudi bongo akawa mbunge. Nilijichomoa kwake nilirudi bongo 2011 mwishoni yeye akawa na mahusiano bado na Kikwete na Eliakim Maswi. Alikuwa na pesa nyingi mno amewahi kunikutanisha na Chenge, Ngereja, Cheyo sehemu fulani Dar wakanisihi nikiwa na kadi ya CCM nitapewa ukatibu mkuu. Niliwajibu kisukuma nafsi yangu itanihukumu. VK amejitahidi nivunje ndoa niligoma nampenda mama mch yeye mchepuko. Tukakubaliana tuwe 2012 marafiki alinichukia mno mno. Ndoa kwake ni kitu anachokithamini sana. Anawatoto 2 Levo 16 yrs na Glory 5 yrs huyu ni wa Kikwete. Hii harusi amenitahidi mno Pinda hata Makinda wamelazimisha paroko nusu aingie kingi uongozi wa juu ulipozinasa ndoa isifunginge. Vicky nilimpima ngoma ndiyo maana nawaambiaga JK liko lizima..."
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom