Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.


here we go again!! Let's get ready to rumble for ladies and gentlemen,whether you are married or single,umbeya wa kamata unafunguka toka jungle!!!
 
Vick kajisahau kwamba keshaolewa na Ccm..mume bora anaejua kazi... Charles Gardner ni mtu wa mageuzi ameshindwa kumshika asimpake shombo...
 
Maskini Vicky yamekuwa haya basi vyakula hivi wapelekewe watoto yatima Mungu amunusuru. Hapa kuna mguu wa MTU. Haiwezekani mbwembwe zote 96 mil ziishie hivi.

Yaani ninyi kama kama mmesahau vile...!? Hivi uchaguzi mkuu wa URT ni lini, kama siyo mwaka kesho?
 

Mkuu kuna statement hapo mwisho sikubaliani nayo hata kwa kuchinjwa!!!
 
Kutokana na habari zilizozagaa kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuhusiana na kushindikana kufunga ndoa jana kanisani kwa sababu muoaji alikuwa ni mume wa mtu ambapo mkewe alipeleka cheti cha ndoa kwa ajili ya pingamizi, kwa sasa hali ya mbunge huyo wa viti maalum wa CCM toka geita hali yake si nzuri kiafya na kisaikolojia.

Kwanza mimi nampa pole zake kama hakujua kuwa ni mume wa mtu na kama alijua huyo jamaa ni mume wa mtu mi nadhani amestahili aibu aliyoipata japo namuombea apate afya njema.

Je wabunge, wanasiasa na makundi mbalimbali mnasemaje?
 
kwa wanasiasa uzinzi ni sifa nyingine,kumb:mwigulu nchemba igunga
 
Duu mrembo by nature hii kali kuliko. Aisee asante kwa ubuyu first grade ubuyu wa ukweli.
 
Hayo ni mambo ya wanawake, wewe mwanaume unatoka nayo wapi??? Hili jukwaa lina heshima sana.

Mods, Please remove the thread.....
 
CCM bhana si Kuna yule bibi wa miaka 65 aliemuoa kijana wa miaka 28.......duh
 
...na hili ni la wabunge ..?
Linahusika mkuu maana walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa arusi ya mbunge mwenzao inafana vivyo hivyo imeshindikana wawe pia mstari wa mbele kumfariji au kumuonya kwa yaliyomkuta. Hata makundi mengine pia ruksa tu.
 

Wewe unasema nini aisee wakati hao wabunge wenzake tayari wameanza kudai kurudishiwa Michango yao Kabisa.
Chezea Intarahamwe wewe....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…