Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
".....2008 hadi mwanzoni mwa 2010. Nikiwa nafanya post doc glasgow, nilijikuta ninamahusiano mabaya na vicky k. Yes alikuwa southampton solent university akifanya masters ambayo alifail. Kila wiki alikuwa akija glasgow. Nilimweleza nimeowa hapa tunapashana moto. Bint alichanganyikiwa mno ... Mara kadhaa kikwete alimpigia simu tumemchezea sana raisi ndiye aliyelipa fees. Mara nyingi tulimweka kwa spika. Alirudi bongo akawa mbunge. Nilijichomoa kwake nilirudi bongo 2011 mwishoni yeye akawa na mahusiano bado na kikwete na eliakim maswi. Alikuwa na pesa nyingi mno amewahi kunikutanisha na chenge, ngereja, cheyo sehemu fulani dar wakanisihi nikiwa na kadi ya ccm nitapewa ukatibu mkuu. Niliwajibu kisukuma nafsi yangu itanihukumu. Vk amejitahidi nivunje ndoa niligoma nampenda mama mch yeye mchepuko. Tukakubaliana tuwe 2012 marafiki alinichukia mno mno. Ndoa kwake ni kitu anachokithamini sana. Anawatoto 2 levo 16 yrs na glory 5 yrs huyu ni wa kikwete. Hii harusi amenitahidi mno pinda hata makinda wamelazimisha paroko nusu aingie kingi uongozi wa juu ulipozinasa ndoa isifunginge. Vicky nilimpima ngoma ndiyo maana nawaambiaga jk liko lizima..."

here we go again!! Let's get ready to rumble for ladies and gentlemen,whether you are married or single,umbeya wa kamata unafunguka toka jungle!!!
 
Vick kajisahau kwamba keshaolewa na Ccm..mume bora anaejua kazi... Charles Gardner ni mtu wa mageuzi ameshindwa kumshika asimpake shombo...
 
Maskini Vicky yamekuwa haya basi vyakula hivi wapelekewe watoto yatima Mungu amunusuru. Hapa kuna mguu wa MTU. Haiwezekani mbwembwe zote 96 mil ziishie hivi.

Yaani ninyi kama kama mmesahau vile...!? Hivi uchaguzi mkuu wa URT ni lini, kama siyo mwaka kesho?
 
".....2008 hadi mwanzoni mwa 2010. Nikiwa nafanya post doc Glasgow, nilijikuta ninamahusiano mabaya na Vicky K. Yes alikuwa Southampton Solent University akifanya Masters ambayo alifail. Kila Wiki alikuwa akija Glasgow. Nilimweleza nimeowa hapa tunapashana moto. Bint alichanganyikiwa mno ... mara kadhaa Kikwete alimpigia simu tumemchezea sana raisi ndiye aliyelipa fees. Mara nyingi tulimweka kwa spika. Alirudi bongo akawa mbunge. Nilijichomoa kwake nilirudi bongo 2011 mwishoni yeye akawa na mahusiano bado na Kikwete na Eliakim Maswi. Alikuwa na pesa nyingi mno amewahi kunikutanisha na Chenge, Ngereja, Cheyo sehemu fulani Dar wakanisihi nikiwa na kadi ya CCM nitapewa ukatibu mkuu. Niliwajibu kisukuma nafsi yangu itanihukumu. VK amejitahidi nivunje ndoa niligoma nampenda mama mch yeye mchepuko. Tukakubaliana tuwe 2012 marafiki alinichukia mno mno. Ndoa kwake ni kitu anachokithamini sana. Anawatoto 2 Levo 16 yrs na Glory 5 yrs huyu ni wa Kikwete. Hii harusi amenitahidi mno Pinda hata Makinda wamelazimisha paroko nusu aingie kingi uongozi wa juu ulipozinasa ndoa isifunginge. Vicky nilimpima ngoma ndiyo maana nawaambiaga JK liko lizima..."

Mkuu kuna statement hapo mwisho sikubaliani nayo hata kwa kuchinjwa!!!
 
Kutokana na habari zilizozagaa kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuhusiana na kushindikana kufunga ndoa jana kanisani kwa sababu muoaji alikuwa ni mume wa mtu ambapo mkewe alipeleka cheti cha ndoa kwa ajili ya pingamizi, kwa sasa hali ya mbunge huyo wa viti maalum wa CCM toka geita hali yake si nzuri kiafya na kisaikolojia.

Kwanza mimi nampa pole zake kama hakujua kuwa ni mume wa mtu na kama alijua huyo jamaa ni mume wa mtu mi nadhani amestahili aibu aliyoipata japo namuombea apate afya njema.

Je wabunge, wanasiasa na makundi mbalimbali mnasemaje?
 
kwa wanasiasa uzinzi ni sifa nyingine,kumb:mwigulu nchemba igunga
 
Duu mrembo by nature hii kali kuliko. Aisee asante kwa ubuyu first grade ubuyu wa ukweli.
".....2008 hadi mwanzoni mwa 2010. Nikiwa nafanya post doc Glasgow, nilijikuta ninamahusiano mabaya na Vicky K. Yes alikuwa Southampton Solent University akifanya Masters ambayo alifail. Kila Wiki alikuwa akija Glasgow. Nilimweleza nimeowa hapa tunapashana moto. Bint alichanganyikiwa mno ... mara kadhaa Kikwete alimpigia simu tumemchezea sana raisi ndiye aliyelipa fees. Mara nyingi tulimweka kwa spika. Alirudi bongo akawa mbunge. Nilijichomoa kwake nilirudi bongo 2011 mwishoni yeye akawa na mahusiano bado na Kikwete na Eliakim Maswi. Alikuwa na pesa nyingi mno amewahi kunikutanisha na Chenge, Ngereja, Cheyo sehemu fulani Dar wakanisihi nikiwa na kadi ya CCM nitapewa ukatibu mkuu. Niliwajibu kisukuma nafsi yangu itanihukumu. VK amejitahidi nivunje ndoa niligoma nampenda mama mch yeye mchepuko. Tukakubaliana tuwe 2012 marafiki alinichukia mno mno. Ndoa kwake ni kitu anachokithamini sana. Anawatoto 2 Levo 16 yrs na Glory 5 yrs huyu ni wa Kikwete. Hii harusi amenitahidi mno Pinda hata Makinda wamelazimisha paroko nusu aingie kingi uongozi wa juu ulipozinasa ndoa isifunginge. Vicky nilimpima ngoma ndiyo maana nawaambiaga JK liko lizima..."
 
Hayo ni mambo ya wanawake, wewe mwanaume unatoka nayo wapi??? Hili jukwaa lina heshima sana.

Mods, Please remove the thread.....
 
CCM bhana si Kuna yule bibi wa miaka 65 aliemuoa kijana wa miaka 28.......duh
 
...na hili ni la wabunge ..?
Linahusika mkuu maana walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa arusi ya mbunge mwenzao inafana vivyo hivyo imeshindikana wawe pia mstari wa mbele kumfariji au kumuonya kwa yaliyomkuta. Hata makundi mengine pia ruksa tu.
 
Kutokana na habari zilizozagaa kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuhusiana na kushindikana kufunga ndoa jana kanisani kwa sababu muoaji alikuwa ni mume wa mtu ambapo mkewe alipeleka cheti cha ndoa kwa ajili ya pingamizi, kwa sasa hali ya mbunge huyo wa viti maalum wa CCM toka geita hali yake si nzuri kiafya na kisaikolojia.

Kwanza mimi nampa pole zake kama hakujua kuwa ni mume wa mtu na kama alijua huyo jamaa ni mume wa mtu mi nadhani amestahili aibu aliyoipata japo namuombea apate afya njema.

Je wabunge, wanasiasa na makundi mbalimbali mnasemaje?

Wewe unasema nini aisee wakati hao wabunge wenzake tayari wameanza kudai kurudishiwa Michango yao Kabisa.
Chezea Intarahamwe wewe....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom