Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Hayo ni mambo ya wanawake, wewe mwanaume unatoka nayo wapi??? Hili jukwaa lina heshima sana.

Mods, Please remove the thread.....

Kumbe alikuwa aolewe na Mwanamke mwenzake ??
By the way, nani kakwambia hili ni Jukwaa la wanaume tu na una uhakika gani kama mleta uzi ni Mwanamke.
Akili za A55 hizi aisee, Bwehehehhehehehehehehehehheehhe
 
heheheheeeeeeee ujanani alifanya kazi ya kukusanya mipesa ndio aliona priority uzeeni anataka awa 'boko haramu' waume za wenzie...afunge ndoa na mijumba yake sasa....hahahahahhaaaaaaa
 
Aisee watu mna data!!!hatareeeeee!mambo hadharani sasa!
 
aliemshawishi kupata ubunge unafikiri anafurahia afunge ndoa
 
She has been through alot by now, mwacheni dada WA watu apumue, hakuna anayestahili matatizo
 
Kiu fupi kawekewa pingamizi na wanaume aliozaa nao watoto watatu wa kwanza , hayo ya vyeti ni kumlindia heshima tu .......haka ka dada ni kuchafua sana .....
Hivi hizi habari za udaku huwa mnazipata wapi kamanda?
 
 
Kwaio ukizaa watoto nje ya ndoa haustahili kufunga ndoa? wangapi wana watoto wa nje na ndoa zimefungwa.acheni roho za kiswahili

Du, wewe ndo ulikuwa matron wake nini?
 

Abadili Awe Mwislam Huko Hakuna Tabu,lakini Kwa Kanisa Katoriki Sheria Zake Kali Haliruhusu Ufusika Kama Wake.
 
hizo 96M bora akatafutie kaserengeti boy kakupozea akabadilishe maisha yake, huku nae akipata huduma.

Ndoa Ndoano.
 
Kuna mambo magumu mpaka unaogopa kucomment........uwiiiii.....
 
AFYA YA MH. VICKY KAMATA YAZIDI KUIMARIKA. NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAMIMINIKA HOSPITALINI KUMJULIA HALI.



Na Steven Mruma.

Hali ya Kiafya ya Mh. Vicky Kamata aliyelazwa siku chache zilizopita, baada ya kuugua saa chache kabla ya Ndoa yake inazidi kuimarika huku ndugu jamaa na marafiki wakifika hospitalini kumjulia hali..
Asubui na mapema nilifika tena hospitali na kukuta baadhi ya ndugu jamaa na marafiki waliofika hospitalini hapo kumjulia hali Mh. Vicky..
Akiongelea afya yake Mh. aliendela kuwashukuru wote wanao muombea akiamini Mungu amesikia maombi yao na kwasasa hali yake imezidi kuimarika na anaweza kuruhusiwa wakati wowote kuanzia sasa.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Baadhi ya ndugu zake [wadogo zake] waliofika kumjulia hali[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh. Vicky akiwa mwenye furaha baada ya kuwaona baadhi ya ndugu zake waliofika hospitali kumjulia hali[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kwa ufupi hiyo suti nyeusi ikipambwa na shati jeupe na tai ya dhambarau ndio ilikua ivaliwe siku ya harusi ya Mh. Vicky Kamata. [Pembeni kulia ni mdogo wake Mh. Vicky akiwa na gauni la Dhambarau [pupple] ilikuwa ni sare ya harusi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh. Ummy Mwalimu akiwa hospitali alipokuja kumuona rafki yake kipenzi Mh. Vicky Kamata[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na Mh. Vicky alipomtembelea hospitli mapema Leo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh. A. Mshama nae alifika hospitali kumjulia hali rafki yake wa karibu Mh. vicky Kamata[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Ijapokuwa alikua Hospitali watu mbalimbali walifika na zawadi zao kuonyesha upendo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
A comprehensive coverage. Nimeipenda...Pole mheshimiwa,GET well soonest!
 
Ndugu kama hutojali mimi naomba unieleze kwa nini ndoa yake imezuiwa kwa kuwekewa pingamizi?Na ni nani huyo alie haribu utamu?(kama unamjua)na hasa hicho kizuizi kilikuwa ni nini?@Nyasamaki
 
Ndugu mimi ni kama wewe tu sina moja wala kumi na moja , Nimeona hii ndio nikaleta tushee na wale wasiojaaliwa kuiona basiiiiiii, Mengineyo Akuuuuuu Siyajui Miye ..........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…